Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1k =232 TshWakuu naomba kujua pesa ya Zambia (Zambian kwacha) kwa mfano 100 ya Zambia ni sawa na Tsh ngapi kwa sasa ktk maduka ya kubadilishia pesa? Nikipata kwa walio mbeya itapendeza zaidi.
Karibuni hapa imeshuka hadi 210! Inaflactuate, pia inategemea, nani anahitaji kubadilisha ipi kati ya ZK na Tsh.K 1=na Tsh 230:
TZS.25'000/-Wakuu naomba kujua pesa ya Zambia (Zambian kwacha) kwa mfano 100 ya Zambia ni sawa na Tsh ngapi kwa sasa ktk maduka ya kubadilishia pesa? Nikipata kwa walio mbeya itapendeza zaidi.
Umefanya hesabu vizuri mkuu??kwa hiyo kwacha inathamani kuliko shilingi yetu aaahh kudaadeki!!
sasa mi hapo ndo sielewi mtuelimishe wajameni!!Umefanya hesabu vizuri mkuu??
Mkuu kama hiyo exchange rate uliyoandika hapo iko sahihi, hsiko shaka kabisa Rand na Kwacha vina thamani zaidi ya Tz Sh.sasa mi hapo ndo sielewi mtuelimishe wajameni!!
mfano
Randi 1 ya SA=167 tsh,hapa randi inathamani
sasa hapo kuna mdau kaandika
1kwacha =232 tsh,sasa nikawa nimepata maluweluwe..
Are you serious?1k =232 Tsh
100k = 23,200tsh.....kwa chenji ya leo.
Are you serious?1k =232 Tsh
100k = 23,200tsh.....kwa chenji ya leo.
Ndio mkuu na hizi ndio sarafu zao.Are you serious?
Kwaiyo ZK inathamani kwa Tz sh.?Ndio mkuu na hizi ndio sarafu zao.
Noti
100k
50k
20K
10k
5k
Silva
1k
5 k
Walichofanya wao walipunguza sifuri tatu kwa kila noti.
Hapo nyuma walikuwa na noti ya 100,000k, 50,000k, 20,000k, 10,000k, na 5,000k.....
Sana tuKwaiyo ZK inathamani kwa Tz sh.?
Mkuu kiuhalisia Tz sh ipo juu sana ya zk..... maana 1000k sawa na 232 Tz sh....Kwaiyo ZK inathamani kwa Tz sh.?
Hapo umenitoa tongotongoMkuu kiuhalisia Tz sh ipo juu sana ya zk..... maana 1000k sawa na 232 Tz sh....
Ila walivyopunguza hizo sifuri ndio inaonekana Tz sh ipo chini...
Ila hilo somo la kupunguza sifuri naona linahitaji wachumi kwa ufafanuzi zaidi, maana hata sisi tunaweza kupunguza sifuri tatu 10,000 Tz sh ikasomeka 10 Tsh na thamani yake ikabaki vilevile.
Japo naona utaratibu huu umetumika kwa nchi mbili za Afrika, Zambia na Ghana....