The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Mfumuko wa bei vs thamani ya pesa ni vitu 2 tofautiHujui kitu kabisa!
Uturuki, kutokana na sarafu yao kudidimia mfululizo, mambo yamekuwa magumu kiasi cha wasomi wengi kukimbilia Ujerumani na nchi nyingine za Ulaya, tena kwenda kufanya kazi za hadhi ya chini na ambazo zina malipo madogo huko Ulaya, lakini inaonekana ni afadhali ulipwe kidogo katika Euro kuliko Lira nyingi ya Uturuki isiyo na thamani.