Thamani ya shillingi ya Tanzania dhidi ya dollar ya Kimarekani

Thamani ya shillingi ya Tanzania dhidi ya dollar ya Kimarekani

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Thamani ya shillingi ya Tanzania inazidi kushuka dhidi ya dollar ya Kimarekani kila kukicha. Serikali chukueni hatua za haraka. Athari hii ni mbaya kwa uchumi.
 
boresha uzi kwa kuongezea takwimu za ubadilishaji wa TZS vs US$, wastani kwa mwezi kwa kipindi cha mwaka wa fedha, itasaidia
 
Foreign Exchange rates for 16/Oct/2018

Unit Buying Selling

USD: 226,781.19 229,049.00

Euro: 263,088.86 265,765.55

GBP: 298,376.01 301,451.39

KES: 2,248.70 2,266.69

ZAR: 15,770.60 15,917.23
Sasa hapo imeshuka kweli...mimi last month nimechange $ kwa 2233
 
Back
Top Bottom