Satisfy
Senior Member
- Jun 25, 2022
- 147
- 237
Klabu ya Simba imeendelea kuonesha ukubwa wake.
Ni jinsi gani wachezaji wazawa inaendela kuwaamini katika kikosi chake na kuwathamini.
Thamani yao inakuja kutokana na kupewa kipaumbele cha kwanza ktk utambulisho.
Pia nawapongeza mashabiki na wadau wa mpira kwa mapokezi mazuri kwa wachezi wazawa, kupitia mitandao ya kijamii kwa komenti na like zao.
Kilichobaki sasa ni wajibu wa wachezaji kujitambua na kuonesha vipaji vyao na kuwa prove wrong wanaowabeza.
Tuthamini vya nyumbani kwanza.