Thamani ya wazawa yaonekana kwa klabu ya Simba

Thamani ya wazawa yaonekana kwa klabu ya Simba

Nyie subirieni mtashuka daraja round hii [emoji23]
Kivopi kushuka daraja kwa kusajili wazawa?

Kweli unajitambua kwani kanuni inasemaje timu kuwa na wachezaji wangapi wa ndani na wa nje ni wangapi?

Je nyie utopolo mnaowachezaji wa ngapi wazawa na wageni wangapi?

Jitambue
 
Muda mwingine hawa wazawa wana kuwa not serious kabisaa ....inabidi msimu ujao wajitume sanaa hawa wazawa
 
Back
Top Bottom