Zamazangu
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 849
- 497
Kumwaga damu imeanza kuwa tabia miongoni mwa viongozi wa Tz. Kuua watu kisiasa sio swala geni katika histiria ya dunia, ila huko nyuma sababu hazkusababishwa na kuhitilafiana kiitikadi, ilikuwa hasa uasi wa serikali, yaani wale walituhumiwa kukusudia kuua viongozi. Hali hiyo ya sasa ya kuwaua wale wanaojtupinga ni utamaduni ,pua ambao madhara yake ni mbaegu ya chuki ambayo haitatuachsalam