TANZIA Thamra Kassimu wa Kampuni ya Azam Media Limited afariki dunia

TANZIA Thamra Kassimu wa Kampuni ya Azam Media Limited afariki dunia

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Tunatoa pole nyingi kwa familia


FB_IMG_16074358219995535.jpg


===
Uongozi wa Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake Thamra Kassim, kilichotokea mapema leo Dar Es Salaam.Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un.
 
Pumzika kwa amani, poleni wafiwa
 
Chanzo cha kifo chake ni kipi? RIP.
 
kwa sasa JF ni kubwa, kwanini msijazie maelezo huyo mwanamama ni nani hapo Azam
 
Back
Top Bottom