TANZIA Thamra Kassimu wa Kampuni ya Azam Media Limited afariki dunia

TANZIA Thamra Kassimu wa Kampuni ya Azam Media Limited afariki dunia

Apumzike Kwa Amani

Uongozi Wa Jamiiforums.com
Mbona Hamjaweka Rangi Ile Nyekundu Kwenye Neno Tanzia!!!
 
Hili limwaka liishe tuu uwiii[emoji134][emoji134]

Kimasihara hivi hivi unaweza shangaa unavuta
 
Inna lilahi wainna ilayhi rajiun. Allah amlaze pema. Tunawoaombea wafiwa Allah awape subra na awafariji katika msiba huu mzito.
Tunatoa pole nyingi kwa familia


View attachment 1644700

===
Uongozi wa Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake Thamra Kassim, kilichotokea mapema leo Dar Es Salaam.Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un.
 
Pumziko La Amani Apate huko aendako.

Alikuwa ni Mtangazaji ama?.
 
Back
Top Bottom