Thanatophobia: Hofu ya kifo na sababu zake

Thanatophobia: Hofu ya kifo na sababu zake

Watu wenye uelewa na mambo ya spiritual huwa hawana kabisa hofu ya kifo kwa sababu wanaelewa exactly kifo ni nini. Namkumbuka mentor wangu mmoja, Munga Tehenan, alikuwa akisema raha ya nafsi inapoingia kwenye blissful state (kuonja mauti) huwa inaizidi raha unayoipata unapofikia mshindo wakati wa tendo, total peace, total freedom and great state of the spirit.
Sio kwamba wanaelewa kifo ni nini ila wana tarajio ambalo ni imani ....wana bayana ya yale wanayoyatarajia.. na hiyo bayana yenyewe sio halisi ila fikirio.....hilo ndilo linalondoa hofu ....lakini kilichoko upande hawakijui kabisa.
 
Back
Top Bottom