St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Pole sana mkuu na karibu tena. Jitahidi kufuatilia masharti ya daktari. Yatakutesa kidogo kwa muda lakini utaweza kupona kabisa.
We wish you get well soon,
DC
pole sana mkuu.....inshaallah mungu akutangulie upone fasta!
Nawasalimia kwa heshima na taadhima wana JF wenzangu,nilipotea kidogo kwa takriban siku 3,4 kwani nilikuwa nasumbuliwa na maumivu makali ya mguu wa kulia lakini nashukuru mungu nimefanyiwa check up na sio serious sana na nimeambiwa nipumzike na nipunguze movement hasa wakati huu wa baridi kwani baridi ikiingia mwilini inaweza kuwa na madhara zaidi.Greetings to you all.
Inshaallah nashukuru na usinisahau mwaliko wa harusi sijui itakuwa Bongo au Dubai?
pole paka...ndiyo mana sikusikia mlio wa miauu miauu...basi acha kukimbia kwenye avatar yako mana una-move sana...
Pole Paka...ndiyo mana sikusikia mlio wa miauu miauu...Basi acha kukimbia kwenye avatar yako mana una-move sana...
Welcome back
kaka mtoto kasimama balaa......nasubiri tuanze kuchimba mafuta tu....! l..o.l
kaka mtoto kasimama balaa......nasubiri tuanze kuchimba mafuta tu....! L..o.l
doh!!!!!!!!! Haya banaaa
duuuhhh POLE SANA....
TUNAMSHUKURU MUNGU UNAENDELEA VIZURI SASA....
hey usi turn off hiyo electric blanket yako...
duuuhhh POLE SANA....
TUNAMSHUKURU MUNGU UNAENDELEA VIZURI SASA....
hey usi turn off hiyo electric blanket yako...