Thank god I am back

Thank god I am back

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
7,956
Reaction score
5,149
Nawasalimia kwa heshima na taadhima wana JF wenzangu,nilipotea kidogo kwa takriban siku 3,4 kwani nilikuwa nasumbuliwa na maumivu makali ya mguu wa kulia lakini nashukuru mungu nimefanyiwa check up na sio serious sana na nimeambiwa nipumzike na nipunguze movement hasa wakati huu wa baridi kwani baridi ikiingia mwilini inaweza kuwa na madhara zaidi.Greetings to you all.
 
pole sana mkuu.....inshaallah mungu akutangulie upone fasta!
 
Pole sana mkuu na karibu tena. Jitahidi kufuatilia masharti ya daktari. Yatakutesa kidogo kwa muda lakini utaweza kupona kabisa.

We wish you get well soon,

DC
 
Nashukuru babu nitajitahidi kufuatilia masharti na kikubwa nimeambiwa nipunguze movement.
 
Nawasalimia kwa heshima na taadhima wana JF wenzangu,nilipotea kidogo kwa takriban siku 3,4 kwani nilikuwa nasumbuliwa na maumivu makali ya mguu wa kulia lakini nashukuru mungu nimefanyiwa check up na sio serious sana na nimeambiwa nipumzike na nipunguze movement hasa wakati huu wa baridi kwani baridi ikiingia mwilini inaweza kuwa na madhara zaidi.Greetings to you all.

Pole Paka...ndiyo mana sikusikia mlio wa miauu miauu...Basi acha kukimbia kwenye avatar yako mana una-move sana...
 
Laazizi wangu huyo ....BJ.... nashukuru kwa well wishes hope nitapona haraka,vipi bado unaogopa paka weusi niambie tu kama umeacha kuwaogopa na mimi nitasimama unikaribie, waliniambia watanipiga mijiwe ndio maana nikaanza kukimbia mapema.
 
duuuhhh POLE SANA....
TUNAMSHUKURU MUNGU UNAENDELEA VIZURI SASA....
hey usi turn off hiyo electric blanket yako...
 
Yap I m trying sababu baridi imezidi kwa sasa,tuko -6 lakini tunaenda nayo hivyohivyo.
 
Back
Top Bottom