Thank God Slaa is not the president, and that will never be


Kwa kweli sijamuelewa naona engineer kangozwa zaidi na hisia badala ya kujenga hoja kama tunavyojua ilivyotabia ya maengeneer . inawezekana ni screen name tu labda mlea mda hana tofauti na mtazamaji ambaye ni just form six "graduate" teh teh teh teh

Matokeo yake maelezo yake yana ambigutyy na contadictions kibao.
 

Ni kweli hujafahamu lakini kosa lako ni kuwa hujafahamu halafu unaleta ubishi. Hivyo kwa akili yako ni sahihi kwa kiongozi yeyote kuingilia mambo yaliyo na maslahi ya watu?
 
Engineer mwenye pumba.Kama wewe ni injinia wa ukweli,siasa huziwezi.Uko uchi mkuu trust me.Hamna kitu hapo.Kama ukiwa honest tutakuonyesha kuwa huna hoja.Soma soma kidogo ujifunze kama unataka siasa.
Hapo na hivi bila maelezo havitusaidii kitu. Towa hoja za kupingana na hoja alizotowa huyo engineer feki kama unavyotaka wewe. Unajuwa tatizo la Wana CHADEMA wengi humu hamtowi hoja bali ni kutowa kauli za kejeli mkifikiri kwamba hizo kejeli zenu zitafuta upumbavu wenu?
 
umeongea weee ila hujasema ni uamuzi wa madiwani wangapi wa CHADEMA uliamua mwafaka! uache ukenge
 
What an argument!? deeply intellectual, emotionaly entertaining, and politically amusing.

Unajuwa kwa wengi hawa hizo bold zako hazina maana kwao wanaona kama umetia nakshi tu. Laiti wangefahamu basi tungeshapata hoja maridhawa angalau kujibu moja ya hizo bold.
 
Aliyeanzisha thread ametumia lugha mbovu hata kama ana hoja hajazipangilia.Na kwahiyo msituchagulie namna ya kuanalyze.Kama ni upupu tunasema.We call a spade a spade here and not a big spoon.Nimemwuliza ni kivipi mifano yake imejenga hoja.Pia kauli za kuhusu mtoto mchanga nk.Ungesema wewe wala usingeniona kwenye threads zenu nawajua nyie.Mimi si chadema FYI.Na wewe ndo mpumbavu.
 
Umejaribu kidogo lakini hukufika mbali , ama kweli kipofu haachi mkongojo wake. Umesahau kuwa Rais kiwango chake ni wakuu wa wilaya na Slaa kiwango chake ni hao madiwani wa Chama chake. Sasa kufananishwa hapo kuna makosa gani?

Rais anawachaguia Wakuu wa wilaya na ndio wanakuwa wawakilishi wake wilayani lakini Slaa hawezi kufika daraja ya kuwa na mwakilishi wa wilaya bali anao uwezo na madiwani wa chama chake.

Kwa hoja ya Eng. ni kuwa Rais anawaamini wakuu wa wilaya aliowachagua na haingilii kati maamuzi ya kuwafaa wananchi na hivyo hivyo si busara kwa Slaa kupinga maamuzi ya watu waliochaguliwa na wananchi.

Hiyo ndiyo hoja yake, sasa unaporuka na matusi hujaondowa hiyo kasoro.
 
Ni kweli hujafahamu lakini kosa lako ni kuwa hujafahamu halafu unaleta ubishi. Hivyo kwa akili yako ni sahihi kwa kiongozi yeyote kuingilia mambo yaliyo na maslahi ya watu?

Sio ubishi unanikimbusha enzi tunasoma mtoto muuliza maswali sana alikuwa anaonkena mbishi. Matokeo yake ni wanafunzi kudumazwa akili sababu wameogfya kukosoa ua kuuliza. au kuhoji

Whatver you call it ubishi or what .S sijui ni wapi katoka kigezo eti rais hawezi kutengua mamuzi ya mkuu wa wialaya kama yanakidhi amani ya wana wilaya. Waht if amani ya wana wilaya haiendani na mashali ya taifa.

Nimetoa mfano wa mdogo tu lakini hai uliopo kati ya walenchoka na walenchari . Huyo Bukuku kama ni mtu wa Musoma atakuwa Anajua. Je
e anajua Njia mabayo zimewai kuependekezwa kuleta amani lakini zikakataliwa? Anajua kwa nini zilikataliwa?

Ubishi huu unaenda na fact. Na wewe leta wako
 
Pumba yako namba tatu:madiwani waanawawakilisha wananchi kwa kupitia chama.Mnavamia siasa nyie kwasababu mnataka ufisadi.Ni heri muingie kwenye siasa kwasababu mna uchungu na nchi na si kwasababu mnataka maslahi.Hovyoo!
Wewe unataka kusomeshwa sana lakini wacha tujitahidi hivyo hivyo.

Hivyo matakwa ya Chama ndiyo yabeze maendeleo ya wananchi? Basi ikiwa hivyo kwanini tunalaumu Magamba kwa wanayoyafanya juu yetu? Si ndio matakwa ya Chama chao? Inamaanisha kuwa CDM inaweza kupeleka watu wengine kule badala ya hawa waliochaguliwa na wananchi na kwa akili yako sisi Watanzania tunachaguwa chama kwa jina la mtu au sera ambazo zitahakikisha maendeleo yetu?
 

Nakubaliana nawewe jino kwa jino! Mtowa hoja anakurupuka nawe unakurupuka. Ngoma drawwwww1
 
umeandika kwa dharau sana, ila sio watu wote wenye upeo mdogo kama wewe, we unataka utuaminishe kwa mawazo yako! Unajiona umeandika point kumbe ni pumba tupu, kwa kifupi una allergy ya kufikiri!


unafikiri asijione vipi wakati yeye ametowa pointi (hata kama unaona pumba) lakini wewe unapiga domo tupu na unafikiri kila kitu dhidi ya maoni yako ni dharau. Hebu tumwagie kidogo vitu tujisikie raha
 

Walikuwa Karibu 12 hao waliowakitumia Demokrasia yao na sio huo umakini. Iwapo Dr. Slaa ni makini umakini wake usiupime kwa kupitia huo mchakato unaosema. Yuko aliyemshinda huyo DR Slaa lakini bado naye tunamwona kuwa hafai!
 
Hata mtoto wangu wa miaka miwili hawezi kuandika haya uliyoandika.

Kwnini unajidalilisha kiasi hiki.

Laiti ungeelewa aliyoyaandika hasa ungejuwa kuwa kuna watu kawadhalilisha na baada ya kufatilia hii thread nimegunduwa kawatendea haki kabisa.
 
Ukisoma sentensi chache za huyu jamaa lazima utagundua Bukuku ni mtu wa hulka gani hata majibu yake kwa wachangiaji yamekosa busara(matusi), lengo lake definitely ni personal attacks kwa Slaa kwa sababu sioni mantiki ya kuingiza suala la mtoto wa Slaa na umeya wala masuala ya usahihi wa madiwani na kufumania wake za watu, next time Eng. kabla ya kuandika jambo jaribu kutuliza akili vinginevyo ujumbe uliokusudia hautaonekana badala yake watu wataona hasira zako, ona sasa hapa ujumbe wako umefunikwa na maneno yasiyo na busara.
 

Kapotolo hongerakwani kati ya waliochomwa wote ni wewe peke yako ulijaribu kumjibu kwa hoja Eng.

Hata hivyo mbona hii hali yenyewe haikukaa vyema? Wakati CCM walipofanya uchaguzi kule kwa siku hiyo hiyo CDM ilchukuwa hatuwa kueleza msimamo wake lakini jambo liliolouwa Raia na viongozi wa kisiasa kuwekwa ndani linachukuwa siku zaidi ya kumi kulichukulia hatuwa? Na nini kinatokea basi , mtu mmoja anasimama na kutowa kauli ya kupinga ndipo Katibu Mkuu wa Chama anakurupuka na kulitolea tamko.

Halafu ndugu zangu wa CHADEMA kwa wiki mbili mlikuwa mkipongeza hatuwa ya Chama chenu na kudai kuwa huo ndio ukomavu wa kisiasa na leo hii mnageuka? Mwacheni Engineer aseme alivyosema kuwa yeye haishi kwa milunzi. Sijui ndugu yangu umeifahamu kauli hiyo?
 

Watu wanasema madaraka yana corrupt na mtu anatakiwa awe makini sana baada ya pampers za wanachama wake, huenda akafika pahala akajiona yeye ndiyo yeye tu. Mifano mingi tumeiona hapa Tanzania na Dr Slaa hawezi kuwa exceptional kama hatokuwa makini.
 


Cha kushangaza kuwa umemuwacha kaondoka huku akiwa mshindi. Kama kweli umefahamu aliyoyasema basi usingetukana badala yake ungekuwa mstaarabu kumuonyesha makosa yake.
 

Jmushi mimi si njinia bali ngubaru hivyo aste aste. Niliwasema CHADEMA kama wewe siye basi huna haja ya kujitetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…