Thank God Slaa is not the president, and that will never be


Nimependa hiyo hoja kwa hoja! Ishu sio kiongozi kuwa na uwezo wa kukosoa au kuchukuwa hatuwa kwa walio chini yake. Ishu ni kuwa kiongozi atakuwa anatumia busara kukosowa wa chini yake IWAPO maamuzi aliyofanya huyo kiongozi wa chini yana manufaa kwa wananchi wake?
 
Napata Hofu Siasa za kulindana zinaanza kuitafuna CHADEMA. Hofu zaidi ni pale ambapo Chama hakiwezi kaa meza moja na vyama vingine Hofu zaidi hata Bungeni tumeshindwa kuunda serikali kivuli ya Umoja sasa Hofu yatanda Arusha. Tulisakamwa Kwenye viti maalum lakini tulifanikiwa kuzima ingawaje tulimpoteza Mwenyekiti Wa wanawake. Haya aliyosema huyu Injinia yanahitaji kuchambuliwa ofcourse matusi yawekwe kando
 
Mimi huwa fair kwenye uchangiaji wangu humu.

Si fair kuwalaumu chadema kama ni kweli madiwani walichukua maamuzi bila ridhaa ya chama ambacho wamekitumia kwenda kuomba kura na kupata ridhaa ya wananchi. Hawakuwa wagombea binafsi. Hakuna maamuzi yatakayofanywa na CCM bila ya kupata baraka za chama kama taratibu za kisiasa nchini zilivyo.

Vyama vina taratibu zake.Tena mambo yalikuwa even worse wakati wa utawala wa chama kimoja.Hata hivyo kama chama ndicho kinaunda serikali kama kikishinda,hamwoni umuhimu wake pale inapokuja kwenye maamuzi yenye maslahi ya chama husika?Na kama maamuzi hayo ya chama yana maslahi kwa wananchi hao,then to hell with madiwani kwasababu watakuwa wamewasaliti wananchi waliowachagua kwa kukaa mezani na kunegotiate isivyo huku wakijua damu za wananchi wasiokuwa na hatia zilimwagika.

Tunavyoelewa sisi ni kwamba mwafaka ulifikiwa na baadhi ya madiwani na ccm. Kwahiyo viongozi wa chama hicho wana haki kabisa ya kufuatilia issue hiyo kwasababu kikubwa zaidi damu ilimwagika. Na mwafaka wowote lazima usiwe wenye kuwasaliti wapiga kura.
 
Location: Mali.......... sijui mji gani? Sidhani kama itakuwa Timbuktu maana utakuwa unatia aibu Chuo Kikuu kikongwe duniani.

Ni sawa na kupanda jukwaani kama mchekeshaji, halafu ukifika unaanza kuongea na kucheka mwenyewe.

Watu wanachukia hadi wengine wanaanza kufurahi jinsi unavyocheka na si unavyochekesha.

Ukiona wengine wanacheka, wewe ndiyo unazidi kuongeza speed ukidhani kuwa umewashika pazuri.

Mara nyingine ukirudia, unashangaa hata mkeo na watoto hawaji kwenye onyesho lako.
 
Slaa will be a
useless oldman in 2025 to be prez so cooldown.this man is worse than
NDULI AMIN.
 
This thread is a joke of the highest calibre.I mean whatever happens to 'Engineers' in recent days??Mkuu 'Wabs' hizi level waachie akina MS na wadeen wengine.Surely you can do better than this.
 
This thread is a joke of the highest calibre.I mean whatever happens to 'Engineers' in recent days??Mkuu 'Wabs' hizi level waachie akina MS na wadeen wengine.Surely you can do better than this.
Kumbe huyu ni Waberoya kama ni yeye basi hakuna haja ya kuhangaika kwa sababu msimamo wake kwa Slaa na Chadema unajulikana ni sawa na kuhangaika kwanini Mrema ana behave vile dhidi ya upinzani.
 
Pole sana mkuu. Umeandika kwa hasira kama mtu aliyechanganyikiwa na maisha. Wewe ni mtu usiyeamini ktk demokrasia, unataka watu wote waamini kama unavyoamini wewe.

Suala la arusha tuachie wana Arusha. Suala hili ni tofauti sana na unavyoamini wewe.
 
Kumbe huyu ni Waberoya kama ni yeye basi hakuna haja ya kuhangaika kwa sababu msimamo wake kwa Slaa na Chadema unajulikana ni sawa na kuhangaika kwanini Mrema ana behave vile dhidi ya upinzani.

Longtime Qnn!

umepotea siku hizi mkuu, lakini nafurahi kuwa unakua vizuri na kwamba afya yako inaongezeka, keep JF rolling!

afadhali ww umesema waniache!!! nikimsifia Slaa na chadema nakuwa mwanachadema, nikipinga chadema na slaa na kuwa anti-chadema!! LOL!
 
Jmushi mimi si njinia bali ngubaru hivyo aste aste. Niliwasema CHADEMA kama wewe siye basi huna haja ya kujitetea.
Ngekewa! Nimeipenda hii, kuna watu wanajifanya wasomi humu JF, lakini ndio mabingwa wa kuchangia pumba!
 
This thread is a joke of the highest calibre.I mean whatever happens to 'Engineers' in recent days??Mkuu 'Wabs' hizi level waachie akina MS na wadeen wengine.Surely you can do better than this.

This is my level man, where do you want to put me?? leave me alobe buddy, I feel relaxed at this kind of argument. I can see and evaluate how those that we think they are graduate they are actually puppet! they YES for everything!!
 

Sijaelewa kitu hapa! Full pumba tu
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!! hii week ya mainjinia juzi mwingine bungeni,leo tna.mkuu simu nyingi zina net siku hizi

Simu ina viandishi vidogo ingemchukua muda kuandika na kurekebisha wakati tayari yupo na Gongo kichwani..!! Tokea Laptop zimekuwa nyingi Tanzania watu wanasadiki kwenda nazo hata bafuni wakati wa kuoga!! Mainginia wamekuwa waandishi wa udaku !! kazi kweli kweli !!! Serikali lazima ibuni jinsi ya kuwapatia kazi !!!
 
Walikuwa Karibu 12 hao waliowakitumia Demokrasia yao na sio huo umakini. Iwapo Dr. Slaa ni makini umakini wake usiupime kwa kupitia huo mchakato unaosema. Yuko aliyemshinda huyo DR Slaa lakini bado naye tunamwona kuwa hafai!
12 ndiyo walio pitishwa tume au una maana gani. Utamuona hafai leo na ni wewe tu kuna maelfu wanamuona anafaa leo na kesho ndiyo maana wana mkubali
 
Yaleyale ya 'Ithink therefore i am'!!!!.
Eng. utakataa mtu akikueleza maandishi na fikra zako zimejipambanua kwa ufupi wa kuona leo? je unatambua athari za hicho unachokiamini in long run? je unatambua kuwa inaweza tokea siku fulani baada ya uchaguzi na mgombea let say wa urais akadhulmiwa,waziwazi, na msimamo wa chama ikawa kupinga matokeo,then yeye akarubuniwa na eti akubali muafaka,wakati chama kina msimamo tofauti. unaliona hili?
kimsingi unapaswa utambue kuwa madiwani wale kwa katiba ya sasa walisimamishwa na CHAMA. ingawa walichofanya ni kwa manufaa ya amani (lets assume,may be,regarding the takrima fact),hivyo walipaswa kutii utaratibu wa kichama.na tunajua kuna vikao vilikuwa vinaendelea,ambavyo labda vingefikia huko,kwa taratibu na manufaa ya wanaArusha.
SIKIO HALIZIDI KICHWA,LABDA UWE SUNGURA.
 



wewe in engineer kaw hiyo siasa huwezi soma maandishi mekundu juu alafu fananisha na maelezo yako ya 11th May 2011 hasa kwenye nyekundu.

kwa heri.
Eng. Burton A. Bukuku

11th May 2011 04:59 PM
#2
JF Premium Member



Join Date : 3rd August 2008
Location : Mali
Posts : 4,415

Rep Power : 32


[h=2]
Re: Nani kifaru? Dr.kikwete au dr.slaa?[/h]
Kifaru katika nini? kuwakutanisha katika nini? may be sijakuelewa , you will excuse me

Are you serious, I am not mfuasi wa chadema, but will never even think to compare Slaa and Kikwete in political, intelectual and leadership aspects. You can only compare them biologically, they are both male!

Slaa kamuacha mbali sana Kikwete kisiasa, kiakili na katika issues nyingi za uongozi

Next time be at least serious, for mature mind, just live as if you dont have president in this country!, dont even mention his name if you can..please!​



Small nations are like indecently dressed women. They tempt the evil-minded.”-JK Nyerere
 
Hapo napo umeonesha utupu na ukilaza wa akili yako. maneno mengi ,,kumbe majealous... yaani umeonesha (personal life attack) kuwa pasipo Politik, basi Dr slaa hana mkate,na mtoto wake mchanga atakufa njaa.. mjinga kweli wewe.
Beta say nothing,although i have said.
 
kila chama kina utaratibu wake, na yeye kama katibu mkuu wa chama lazima a act kwa kitu chochote ambacho anaona kinaweza leta mtafaruku ndani yake, in short lazima atetee msimamo wa CHAMA.

Tatizo mna copy na kupaste model za wana Magamba, hapo ndipo mnakosea, Model za CHADEMA zipo tofauti kabisa, msimamo wa chadema utaendelea kuwa msimamo tu, hao madiwani kama wamekiuka maadili hatua za kichama lazima zitafuata.

ur so cheap mr Man, hoja yako imejaa utumbo wa mende.
 

Kwa hiyo ukimsifia mtu leo, huwezi ukamkosoa kesho!!! jamani mnatoka sayari gani? wanasiasa wanasifiwa na kukosolewa tu!!! you mean wanaompenda Kikwete wasimkosoea una TOFAUI GANI WEWE NA WAO!!! aibu hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…