Thank God Slaa is not the president, and that will never be

This is my level man, where do you want to put me?? leave me alobe buddy, I feel relaxed at this kind of argument. I can see and evaluate how those that we think they are graduate they are actually puppet! they YES for everything!!

kwa level yako ungeweza kuandika hoja kwa mtiririko mzuri na watu wakuelewe, ndiyo maana tunasema ur so cheap!!, miaka 4 unasoma hesabu then unaandika hoja isiyo na masikio kamanda, mbona hivyo?

ndiyo maana watu wanaanza kuhoji IQ yako, unatudhalilisha ma- fundi wenzako wa level hiyo chief, waachie akina MS wana fani zao.
 
Slaa ni rais wa kwenye majukwaa na gazeti la Mwanahalisi nje ya hapo atabaki kuwa Vuvuzela . Kama Chadema wanadhani huyu jamaa ndio atawafikisha nchi ya ahadi wamenoa!
 
Wewe ni Injinia wa nini?? labda wa baskeli za miti, ndio nyie mnaopitisha barabara mbovu, na nnyie ndio daraja la wana siasa kuingia mikataba ya kijinga.......huna sifa kaa kimya lea watoto tu
 
Wewe ni Injinia wa nini?? labda wa baskeli za miti, ndio nyie mnaopitisha barabara mbovu, na nnyie ndio daraja la wana siasa kuingia mikataba ya kijinga.......huna sifa kaa kimya lea watoto tu

wewe ni Elli wa nini?
 
Wewe ni Injinia wa nini?? labda wa baskeli za miti, ndio nyie mnaopitisha barabara mbovu, na nnyie ndio daraja la wana siasa kuingia mikataba ya kijinga.......huna sifa kaa kimya lea watoto tu

hahaha, i guess zile za wale watoto wa mafinga na makambako.
 
Kwa hiyo ukimsifia mtu leo, huwezi ukamkosoa kesho!!! jamani mnatoka sayari gani? wanasiasa wanasifiwa na kukosolewa tu!!! you mean wanaompenda Kikwete wasimkosoea una TOFAUI GANI WEWE NA WAO!!! aibu hii!
Tatizo ni kusifia leo kesho ukosoe bila sababu za msingi, angalia post zako haijapita hata mwezi uliyemsifia kwa kuwa na akili leo amebadilika unaweza kueleza akili zimeenda wapi kwa wiki mbili hizi, ndio maana watu wahoji IQ yako ya uelewa wa mambo ni afadhali mwenyewe umesema wewe si mbwa maana wengine tungeshindwa kuona the difference.

Trh. 11May 2011
Slaa kamuacha mbali sana Kikwete kisiasa, kiakili na katika issues nyingi za uongozi
Leo
Kwa bahati mbaya mimi sina cha kufuata mkondo, sijawa mbwa mimi wala sina anayenipigia mluzi, ni huru kutoa mawazo pasi kujua au kujali mwingine ataumia vipii
......Hivi SLAA ANGEKUWA RAIS ingekuwaje?
 


Stop filling JF with craps, I ask you...
 
Eng. Burton A. Bukuku nimegundua ni mtu mmoja makini kweli , unasema kweli panapotakiwa ni members wachache humu JF wenye uajasiri huo, nikweli Mzee slaa hafai kuwa rais..
 

Ni vigumu wengi kumwelewa Dr. Slaa. Mi ni Engineer (sina PhD, vipi Eng. B unayo?) lkn napenda ku-argue vitu ambavyo nina uhakika navyo. Slaa alisema (kwenye vyombo vya habari) kuwa kulikuwa na mazungumzo (kati ya W. Mkuu na uongozi wa CDM) ya muafaka lkn hawa madiwani wakaya-bypass hayo mazungumzo na kugawana vyeo. Huo sidhani km ni muafaka maana kuna ndugu walikufa, je familia zao zimeangaliwa na hawa madiwani? Au ilikuwa kimbelembele chao waliandamana bure?

Kwamba amekuwa judgemental, Rais alimfanyeje Mkuu wa Wilaya aliyewacharaza viboko Walimu? Slaa anaweza kuingilia maamuzi ya madiwani wa chama chake au whatever lkn anasema hata uongozi wa CDM Wilaya na Mkoa haukuhusishwa, sijui kama ni sahihi. Je, kesi iliyoko mahakamani iliyomweka ndani M/kiti wao juzijuzi imegusiwa kwenye huo mwafaka au ni maslahi ya madiwani 3. Tume ya Marando imeundwa kufuatilia kama kulikuwa na mianya ya rushwa ili hatua zichukuliwe kwa haki, we unaona gharama. Eng. Burton, kuna Conferences za ma-engineer (IET - Dec, 2011 na MIE - Feb, 2012) je, una paper yoyote ya ku-address tatizo la umeme nchini au ume-concentrate na mtoto mchanga unayemfahamu? I'm sorry anyway..!
 
Eng. Burton, kuna Conferences za ma-engineer (IET - Dec, 2011 na MIE - Feb, 2012) je, una paper yoyote ya ku-address tatizo la umeme nchini au ume-concentrate na mtoto mchanga unayemfahamu? I'm sorry anyway..!
Eng. Burton apate wapi muda wa kuandaa paper wakati anafuatilia maisha ya mtoto wa Slaa atapelekwa lini clinic.
 

mtu yeyote anayekaa kwenye drawing table anatumia akili nyingi sana coz anatafuta reality kutoka kwenye ubongo na kui'present kwente sheet, sasa hawa ni wale ma'engineer waliopoteza muelekeo, badala yakuona kwa 2D na 3D wao wanavamia software (master series, autoCad, archiCAD, nk) kurahisisha mambo kumbe ndivyo wanavyodumaza bongo zao, mifano ndo hawa wanaojiita eng. bukuku na eng. stella manyanya.
 
Nilitukanwa sana hii thread, ila sikukurupuka soon mtajua wanasiasa na siasa ni nini!!! mmewasikilia madiwani wamesema nini?
 
Pole sana ndugu yangu, heri mimi sijasema; katika maamuzi yenye busara wapi ni afadhali CDM au CCM, hivi nyie kama mnabusara nafasi ya katibu mwenezi mnaweza kumpa mtu kama Nape anaye ongea chochote!

Poleni CCM, hongera Dr Slaa, tupo pamoja tunakuombea, kuna siku watu watajifunza tokea CDM kuwa ni mpango wa Mungu CDM ije kuongoza nchi. Naamini siku CDM itashika nchi tutaacha Mamlaka kwa muumba wa mbingu na nchi na siyo kwa waganga na wachawi.


Naamini hii miaka 5 ni ya watanzania kujifunza, ngoja tusubili tuone.
NOTE: na wasi wasi na uhadhili wako, nahisi ni wa madesa
 
Kweli kabisa Muhadhir, saa hizi mafisadi na viongozi wote wa magamba wangekuwa wanajisaidia kwenye mtondoo!

Mgao wa giza usingekuwepo, na Wananchi wangepata unafuu wa maisha.
 
wai kuchangia mada nyingine ni kujichosha akili bila faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…