choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Kwa upande wangu naona ni thank you halali kabisa, Peter Banda aka "wonder kid" ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa ila kipaji chake kikubwa hakijaisaidia Simba SC.
Labda ni kutokana na majeruhi ya mara kwa mara na kutokupata nafasi mara nyingi, na mara anapopewa nafasi hajaonesha kile tulichokitarajia
Ni muda sasa kina Chilunda nao wapewe nafasi kuonesha kitu