Thank you aliyopewa Peter Banda ni halali kabisa

Thank you aliyopewa Peter Banda ni halali kabisa

1. Banda HAKUWA na KIPAJI KIKUBWA.
Hii ni propaganda TU ya uongo imetengenezwa na Simba kuwa Banda aonekane mchezaji mzuri.
Haiwezekani mchezaji kwa Umli ule atoke ulaya Moldova ARUDI Tanzania Simba.


2. Wachezaji wazuri WA Duniani akina Messi Ronaldo, mbappe nk Huwa hawaumii.
Mchezaji akiumia isizidi wiki.
HAKUWA na nafasi kabisa Simba
UWEZO WAKE ULIKUWA NI MDOGO SANA.

3. Alikuwa BINGWA wa kuvaa hereni, KUhangaika na NYWELE na ubishoo Mwingi.

PALE HAKUNA MCHEZAJI.
Upo sahihi mkuu hakuna mchezaji pale ukisema ukweli watu wanakuwa wakali[emoji16][emoji16][emoji16]wanda kidi
 
Yani kuna sentensi unasoma unabaki kucheka tu yani peter Banda awe tishio Africa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mtu kamlinganisha na Messi, sisi tufanyeje? Kati ya wakali wote anaowajua yeye kaamua amtumie Messi kutetea hoja yake....
 
Katumia mifano rahisi ili hata wewe uelewe lakini bado tu ujaelewa[emoji16]

Angemtaja said wa mtaani kwao unazani ungelewa kaka
Kumtumia Messi we unaona ni mfano rahisi? Angemlinganisha angalau na kina Kibu Denis au Tuisila Kisinda...tungeweza kupata picha..

Messi tena???
 
Back
Top Bottom