Thank you aliyopewa Peter Banda ni halali kabisa

choza choza

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2019
Posts
2,081
Reaction score
3,831
Kwa upande wangu naona ni thank you halali kabisa, Peter Banda aka "wonder kid" ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa ila kipaji chake kikubwa hakijaisaidia Simba SC.

Labda ni kutokana na majeruhi ya mara kwa mara na kutokupata nafasi mara nyingi, na mara anapopewa nafasi hajaonesha kile tulichokitarajia

Ni muda sasa kina Chilunda nao wapewe nafasi kuonesha kitu
 
1. Banda HAKUWA na KIPAJI KIKUBWA.
Hii ni propaganda TU ya uongo imetengenezwa na Simba kuwa Banda aonekane mchezaji mzuri.
Haiwezekani mchezaji kwa Umli ule atoke ulaya Moldova ARUDI Tanzania Simba.


2. Wachezaji wazuri WA Duniani akina Messi Ronaldo, mbappe nk Huwa hawaumii.
Mchezaji akiumia isizidi wiki.
HAKUWA na nafasi kabisa Simba
UWEZO WAKE ULIKUWA NI MDOGO SANA.

3. Alikuwa BINGWA wa kuvaa hereni, KUhangaika na NYWELE na ubishoo Mwingi.

PALE HAKUNA MCHEZAJI.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haya ulikuwa wapi kuyasema sikuzote mkuu?
 
Ukweli mchungu. Hakuwa mchezaji hatari.
 
Kama umeamua kumlinganisha na kina Messi basi umedhihirisha kabisa kwa Afrika kumbe Banda ni mchezaji tishio!
 
Moment yake kubwa ninayoikumbuka ni alipowafunga Asec Mimosas assist ya Boko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…