Thank you aliyopewa Peter Banda ni halali kabisa

Upo sahihi mkuu hakuna mchezaji pale ukisema ukweli watu wanakuwa wakali[emoji16][emoji16][emoji16]wanda kidi
 
Yani kuna sentensi unasoma unabaki kucheka tu yani peter Banda awe tishio Africa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mtu kamlinganisha na Messi, sisi tufanyeje? Kati ya wakali wote anaowajua yeye kaamua amtumie Messi kutetea hoja yake....
 
Katumia mifano rahisi ili hata wewe uelewe lakini bado tu ujaelewa[emoji16]

Angemtaja said wa mtaani kwao unazani ungelewa kaka
Kumtumia Messi we unaona ni mfano rahisi? Angemlinganisha angalau na kina Kibu Denis au Tuisila Kisinda...tungeweza kupata picha..

Messi tena???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…