William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
-
- #181
Mtu una miaka 53,lakini bichwa limejaa ujinga tu.
- Hukupata kopo sio kosa langu wewe sio maarufu ok!! hahahahahaha una miaka 5 lakini sio maarufu, kubali yaishe
Le Mutuz
- Tuliza boli kubali yaishe hawa ni cocacola sio kampuni ya Togwa kule kwenu, hawa ana kitengo cha utafiiti hii practice imeanzia UK na USA na sasa imefika bongo wamefanya utafiiti ukaonyesha I am The King of All Bongo Social Media sasa wewe unabakia kugugumia na bado utanisoma sana si niliwaambia mtanisoma tu mpaka muingie kaburini mazafantazzz hahahaha
Le Mutuz
Hahahahahahaha nimecheka sana jamani....jf haichoshi jamani!!!
- Hukupata kopo sio kosa langu wewe sio maarufu ok!! hahahahahaha una miaka 5 lakini sio maarufu, kubali yaishe
Le Mutuz
- Kampuni ya Cocacola hivi kuanzia leo imeanza kutoa heshima kwa all Super Stars wa Tanzania ambao wana ushawishi mkubwa katika jamii kwa kuwatengenezea makomo maalum ya Soda zao ambayo yataanza kuuzwa madukani hivi karibuni.
Ma Star wengi leo wamekabishiwa rasmi makopo hayo yenye majina yao ambayo ni mfano wa makopo ya soda zitakazoanza kuuzwa madukani hivi karibuni, baadhi ya Ma Star waliopewa makopo hayo leo ni pamoja na Mshindi wa Big Brother Idriss, Wema Sepetu, Aunt Ezekiel, Martin Kadinda na Le Mutuz Nation.
- Naomba again kuwashukuru sana wapenzi wangu wengi hasa wa hapa JF haya yasingewezekana bila ya nyinyi and I mean it nawashukuru sana from the bottom of my soul, thank you JF hasa Celebrity Forum na I am humbled sana!!
Le Mutuz