Thank You Cocacola I am Humbled !

Thank You Cocacola I am Humbled !

Kubwa jinga. Kwenye kopo hadi Asha na Mwajuma wa Tandare kwa tumbo wameandikwa
 
- Tuliza boli kubali yaishe hawa ni cocacola sio kampuni ya Togwa kule kwenu, hawa ana kitengo cha utafiiti hii practice imeanzia UK na USA na sasa imefika bongo wamefanya utafiiti ukaonyesha I am The King of All Bongo Social Media sasa wewe unabakia kugugumia na bado utanisoma sana si niliwaambia mtanisoma tu mpaka muingie kaburini mazafantazzz hahahaha

Le Mutuz



Hahahahahahaha nimecheka sana jamani....jf haichoshi jamani!!!
 
Huyu mzee wa watu LeBaharia, akiingia Toilet badala aache kinyesi, ye anaacha Akili anasepa na kinyesi kichwani.....
 
Kwa nini kusiwe na benefit kwa jamii au individual celebrity makopo yawe mengi na yauzwe huku hiyo fund ikifanya mambo ya maana kama special fund kwa unfortunate ones na kadhalika. Coca cola do u know how much will u earn after this?
 
Muulizeni kubwa jinga anasema watamsoma mpk wanaingia kaburini, yeye ana guarantee ya kuishi miaka mingapi?

Mungu saidia nisizae toto lenye akili kama hizi
 
Yeyote anaejibizana na huyu Punguan "Le mutuz" ana matatizo ya kumtosha kabisa!!!!! Huyu "Le mutuz" ni wa kupuuza sana!!! Sasa anavyojisifu, yeye nini fani yake kwenye haya maisha!!!? Yaani mtu unafurahi jina lako kuwekwa kwenye kopo?! Sijawai kuona! Hivi anatania au ana maanisha wakuu?
 
1.Jina lako limewekwa kwenye kipo umefaidika nini hasa?
2.What makes u a celeb lyk really 😄
.....tatizo lako hupendwi kurekebishwa na utabaki mburura daima 😂😂😂😂
 
jamaa unafurahisha sana, yaani umekuwa humbled kwa coca kuchapa neno lako kwenye kibati tu cha kikopo...? hongera sana....!
 


- Kampuni ya Cocacola hivi kuanzia leo imeanza kutoa heshima kwa all Super Stars wa Tanzania ambao wana ushawishi mkubwa katika jamii kwa kuwatengenezea makomo maalum ya Soda zao ambayo yataanza kuuzwa madukani hivi karibuni.

Ma Star wengi leo wamekabishiwa rasmi makopo hayo yenye majina yao ambayo ni mfano wa makopo ya soda zitakazoanza kuuzwa madukani hivi karibuni, baadhi ya Ma Star waliopewa makopo hayo leo ni pamoja na Mshindi wa Big Brother Idriss, Wema Sepetu, Aunt Ezekiel, Martin Kadinda na Le Mutuz Nation.

- Naomba again kuwashukuru sana wapenzi wangu wengi hasa wa hapa JF haya yasingewezekana bila ya nyinyi and I mean it nawashukuru sana from the bottom of my soul, thank you JF hasa Celebrity Forum na I am humbled sana!!

Le Mutuz


We utakua lini? 56 years unashinda kupiga picha na watoto wa kike ambao una umri kama baba zao, eti super mtindizz?? Me kitu sijawahi elewa wewe ni staa wa nini? Staa angekuwa baba yako sio wewe. Sasa hilo kopo limeandikwa jina lako so what?
 
Back
Top Bottom