William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
-
- #41
Capitalist lemutuz.make moneyyyyyyyy.ukikaa USA lazima ujue shule sio pesa.wajinga ndio waliwao.
Wenzako wanaingiza pesa kwa kampun kutumia jina lamtu mfano kidoti....ww unafurah kuandikwa jina u knw
Naliona anguko la cocacola hapa..... lemutuz aka lembululazzzzz mmmmmh!!!!
Sinywi na will go tell others to NOT TAKE!!! bhahaaaàhaaaa!
- Wewe kanunue kopo la soda uweke mapambio nyumbani kwako kama unapo, waambie wageni wako huyu Le Mutuz huwa ninachat naye JF ni ujiko wewe wacha hizi nonsense!!, halafu ni ujiko hata unaweza opoa mabebezzz U know
Le Mutuz
- Kumbe kuna wabongo wenye akili nilidhani wote ni super gademu mburulazzzz U know salute mtuwangu!1
Le Mutuz
Kaka hongera sana.
Kila la kheri
- Kumbe kuna wabongo wenye akili nilidhani wote ni super gademu mburulazzzz U know salute mtuwangu!1
Le Mutuz
Hivi lemtuzi ni yupi? Teheee teheeee nianzie hapo maana mmmmmmmh koh koh
lemutuz ana usuper star wa nini? Au wa wanawake.
Wewe Le Mutuz uwe unabadilisha mashati,ivi hela unapeleka wapi??
- Utaliweka tu kama kumbu kumbu either unataka au hutaki U know hahahahahaha
Le Mutuz
Mkuu alafu hilo kopo unafanyia nini?