Thank You Cocacola I am Humbled !

Thank You Cocacola I am Humbled !

Naliona anguko la cocacola hapa..... lemutuz aka lembululazzzzz mmmmmh!!!!
Sinywi na will go tell others to NOT TAKE!!! bhahaaaàhaaaa!

- Wewe kanunue kopo la soda uweke mapambio nyumbani kwako kama unapo, waambie wageni wako huyu Le Mutuz huwa ninachat naye JF ni ujiko wewe wacha hizi nonsense!!, halafu ni ujiko hata unaweza opoa mabebezzz U know

Le Mutuz
 
- Wewe kanunue kopo la soda uweke mapambio nyumbani kwako kama unapo, waambie wageni wako huyu Le Mutuz huwa ninachat naye JF ni ujiko wewe wacha hizi nonsense!!, halafu ni ujiko hata unaweza opoa mabebezzz U know

Le Mutuz

Haaa haa eti unaweza kuopoa mabebezzzz, let's try km na mm ntawakamata km lemutuz lebaharia
 
- Kumbe kuna wabongo wenye akili nilidhani wote ni super gademu mburulazzzz U know salute mtuwangu!1

Le Mutuz

Acha dharau kwa Tanzanians -----, kubwa jinga, Watanzania wote hadi wazazi wako unawaona ni wapumbavu ww tu ndo mwenye akili? Jitambue bwana, fikiria mara2 kabla huja-post kwny public.
 
le mutuz nafurahi kuona una haters sababu wanakufanya uwe mbunifu ,upige pesa ili uwadhibitishie wewe ni nani.

mi uwa napenda sana haters sababu uwa nawaonyesha mi nani kwa vitendo na wanakupa moyo kupiga pesa zaidi
 
- Kumbe kuna wabongo wenye akili nilidhani wote ni super gademu mburulazzzz U know salute mtuwangu!1

Le Mutuz

Haya ndio madhaifu yako unayopaswa kuyafanyia kazi mwaka huu. Fikiri kabla ya kuandika siyo unaandika halafu ndio unafikiri.
 
lemutuz ana usuper star wa nini? Au wa wanawake.
 
Last edited by a moderator:
Hivi lemtuzi ni yupi? Teheee teheeee nianzie hapo maana mmmmmmmh koh koh
 
Staa anaejitangaza mwenyewe,,! Unatumia nguvu kubwa kuwa staa akili kidogo mkuu,,tehe tehe
 
lemutuz ana usuper star wa nini? Au wa wanawake.

Haya ndio madhara ya makampuni decesion makers kuwakabidhi wahuni.

Wenye dhamana ya kuipromote Coca Cola hapa itakuwa ni kikundi cha wahuni tu.

Ni bora kuwatumia wacheza mpira na wanamuziki ambao wapo kwenye chart za juu kama Joh Makini and likes kuliko wahuni kama Le Mutuz.

Wema anafaa kuwemo kwenye list kwa sababu ana mashabiki wengi.
 
Last edited by a moderator:
Ntakua nikimaliza kumnywa LE KIRIKUU naenda kutupa choo cha shimo
 
Duuu comments za huu uzi ni balaa full vichekesho
 
Le Mutuz hongera, nilichojifunza toka nimekusoma mara ya kwanza ni utofauti wa mitazamo. Njia yako ya kupata pesa bado ni mpya hapa bongo. So expect challenge.
 
Back
Top Bottom