Thank You Cocacola I am Humbled !

Thank You Cocacola I am Humbled !

Huwezi kumlinganisha wema na hilo superLembulumumdu!

Wema anafanya nini cha maana uwe na argument za maana .... Lemutuz hana tofauti my weather yule bondia Wa marekani sasa wewe unafikiri kuji show kwake kunakua siri nini wewe?
 
Kweli wewe mjinga unamfananisha huyu na mayweather Kweli unaakili mgando
 
Wema anafanya nini cha maana uwe na argument za maana .... Lemutuz hana tofauti my weather yule bondia Wa marekani sasa wewe unafikiri kuji show kwake kunakua siri nini wewe?

Sikutegemea kama utajibu kindulute namna hii asee MoneyMay umlinganishe na dat BigAss*y?????
 
Mi sifa ndio ninachofananisha mimi na siyo fedha

Oooh! Yes kumbe sifa za kijinga!!! Kujisifia kujenga kijumba cha kufugia rabbits @50th age???! The mazafantazzzz lwenya!!!!!
 
Uknw super lemtindiz watazidi kukukubali na supergadem waswahili watakuonea wivu
 
Attachments

  • 1421097446589.jpg
    1421097446589.jpg
    69.4 KB · Views: 2,450
Wema anafanya nini cha maana uwe na argument za maana .... Lemutuz hana tofauti my weather yule bondia Wa marekani sasa wewe unafikiri kuji show kwake kunakua siri nini wewe?

Capitalist lemutuz.make moneyyyyyyyy.ukikaa USA lazima ujue shule sio pesa.wajinga ndio waliwao.
 
hongera le mtakozzzz vipi nyumba ya mama ishaisha ukarabati?
 
Mimi sikuchukii.tatizo lako hupendi mtu mwenye mawazo tofauti na wewe.

Atakuwa amekasirika ulipomwambia kule anamtesa mama yake kumuacha anakaa kwenye kibanda kilichokongoroka huku anateseka na ugonjwa, alafu yeye anajisifia mjini hapa kuwa mambo yake safi anaingiza mamilioni kila akikoment mtandaoni....usimshangae babu ndio tabia za madiaspora.
 
Hapa Cocacola wamebugi, wahesabu wamesha poteza nipoteza mteja wao, nyumbani kwangu product zao ni mwiko. Hata ntakae mnunulia sharti ni isiwe Coca inayoenzi mtu mjinga kama huyu.
 
Back
Top Bottom