Thank You Jamiiforums I am A Big Star and Big Celebrity Cause of You Leo Nitaichangia Tsh. 200,000!!

Big up le mutuz nimesoma ule Uzi uliokupambanisha na mbuta nanga .... ndiyo nikaelewa unachokifanya the wizard manipulator! Keep it up wakati misukule itakapo kuja elewa it'll b too late!!!
 
u know nimeona again nyingi u know humu jf hakuna mwenye hela kumzidi le mutuz u know nakukubali u know watotoz wakarezz wanakushobokea
 
Kiukweli Mr Willium this is purely true, i wish this could be a new reseach topic hapa tuichangie na kujaribu kuangalia namna ya kuwasaidia vijana wa kitz!!!
 
Kiukweli Mr Willium this is purely true, i wish this could be a new reseach topic hapa tuichangie na kujaribu kuangalia namna ya kuwasaidia vijana wa kitz!!!

Bahati mbaya sio tatizo la tanzania tu...dunia nzima udaku ndio habari zinazolipa....Ata umu jf ni wangapi wanaotembelea jukwaa la lugha,afya au technology
 
Ahya Mungu akubariki Le Mutz kwa kuichangia JF na kuthamini JF.
 
Mbuta ana umri gani? Sijui nani kachelewa.

Big up le mutuz nimesoma ule Uzi uliokupambanisha na mbuta nanga .... ndiyo nikaelewa unachokifanya the wizard manipulator! Keep it up wakati misukule itakapo kuja elewa it'll b too late!!!
 
nitumie pm number zako za simu mkuu napenda kunamambo tuongee private kama hutojali
 
Nimekukubali sana, hata wanaouliza maswali ya kipuuzi umewajibu vizuri bila jazba. Barikiwa sana katika kazi zako.
 
Ni kweli umetoka mbali na JF na ni miaka mingi, lakini pamoja na miaka mingi naona kama akili bado na utoto you know!
punguza uke utoto wako wa instagram mkuu....hata unaposema umetoka mbali na JF basi ionekane ulikuwa unakuwa mwili na akili!

- AKILI ya kitoto itakuwa ni kuja hapa kurusha matusi kwa watu usiowajua kama unavyofanya wakati watu kama mimi we get paid kuandika kwenye mitandao hii hii ambayo wewe unarushia matusi, so think about it!!

Le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…