mungasulwa
Member
- Feb 17, 2012
- 48
- 14
Big up le mutuz nimesoma ule Uzi uliokupambanisha na mbuta nanga .... ndiyo nikaelewa unachokifanya the wizard manipulator! Keep it up wakati misukule itakapo kuja elewa it'll b too late!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
u know nimeona again nyingi u know humu jf hakuna mwenye hela kumzidi le mutuz u know nakukubali u know watotoz wakarezz wanakushobokea
- Kabla ya kuandika maneno kama haya muwe mnafanya utafiti kwanza hivi unajua kwenye blog ikiwekwa habari za kufunguliwa Chuo Kikuu wanapitia wananchi 5 tu in 30 minutes ila ukiweka Wema Sepetu hajalala usingizi wanapitia WATU LAKI MOJA in 30 minutes, sasa niambie mwenye makosa hapo ni nani kwa haya mawazo yako?
Le Mutuz
Kiukweli Mr Willium this is purely true, i wish this could be a new reseach topic hapa tuichangie na kujaribu kuangalia namna ya kuwasaidia vijana wa kitz!!!
Sifa za kijinga hizi!
- Blogu ya Wananchi or williammalecela.com karibu sana anytime!!
Le Mutuz
Big up le mutuz nimesoma ule Uzi uliokupambanisha na mbuta nanga .... ndiyo nikaelewa unachokifanya the wizard manipulator! Keep it up wakati misukule itakapo kuja elewa it'll b too late!!!
mi nakaa kimara kona lakini sikufahamu.- Jamani heshima mbele sana, naomba kuwashukuru sana Jamiiforums I mean JF nimetoka nayo mbali sana na imenifikisha mbali sana na wala sio siri leo ninafahamika kila kona ya Tanzania
Ni kweli umetoka mbali na JF na ni miaka mingi, lakini pamoja na miaka mingi naona kama akili bado na utoto you know!
punguza uke utoto wako wa instagram mkuu....hata unaposema umetoka mbali na JF basi ionekane ulikuwa unakuwa mwili na akili!
Nimekukubali sana, hata wanaouliza maswali ya kipuuzi umewajibu vizuri bila jazba. Barikiwa sana katika kazi zako.