Thank You Jamiiforums I am A Big Star and Big Celebrity Cause of You Leo Nitaichangia Tsh. 200,000!!

Yaani 200,000 tu ndo ufanye matangazo mjomba????

Anyway hongera

Zidi kuhamasisha kuchangia jf
 
U know, ICD mbagala itamaliza ubishi.
 
huyo ndio le baharia, le mutuz, le big show, kwanza yeye hadate na mbebs ambaye yuko over 30, yeye anadate na under 30 only.

we baharia wangu unampatia sana le mutuz!pimbi yeyote hawezi kusanuka kama unamchora mshkaji ki beach boy!unamjaza sana upepo
 
Mmmh Haya Maneno Yametoka Kichwani Kwa Le Mutuz Kweli, Bado Sijaamini.
 
we baharia wangu unampatia sana le mutuz!pimbi yeyote hawezi kusanuka kama unamchora mshkaji ki beach boy!unamjaza sana upepo

- Yaani akili yako inakutuma kwamba wewe na akili ndogo kama yako unaweza kunijaza mimi upepo au kunichora, tumia akili kidogo tu utaelewa kwamba wewe pia unacheza rumba langu, nenda shule utakuwa kama mimi

Le Mutuz
 
ntakuwa nina minyonyo kama yako au kuwa kama wewe kivipi?
 
Hiyo mipasho sasa
 
Umegombana na again?
 
Mkuu Le baharia unatakiwa uongezee tena 100,000 maana hapa penyewe nadhani unafanya matangazo ya hiyo blog
 
Mkuu Le baharia unatakiwa uongezee tena 100,000 maana hapa penyewe nadhani unafanya matangazo ya hiyo blog

- Coming up Le Mutuz Instagram Party at Escape 1 Beach Club TAREHE 2/8/2014 MORE DETAILS ARE COMING SOON!1

lE mUTUZ
 
Kama umaarufu unalazimishwa kiasi hiki basi ni taabu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…