BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Yaani 200,000 tu ndo ufanye matangazo mjomba????
Anyway hongera
Zidi kuhamasisha kuchangia jf
Anyway hongera
Zidi kuhamasisha kuchangia jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani 200,000 tu ndo ufanye matangazo mjomba????
Anyway hongera
Zidi kuhamasisha kuchangia jf
- Kaka umeziokota leo toka kumekucha? ha! ha! ha!
Le Mutuz
Hahahaaa, una maneno hatariiii.
Naona haters wote kimyaaaaaa!
- Kaka mimi kwa kutumia tactics nilizosoma kwenye Criminology huwa ninatengeza Online addicts ambao no matter what ukishanisoma mara moja tu utarudia maisha yako yote so worry not nimeamua kusema ukweli nowa kwa sababu najua kwamba kuwa Bilionea sihitaji tena Online business nipo kwenye zingine now, anyway thanks kwa ushauri!1
Le Mutuz
huyo ndio le baharia, le mutuz, le big show, kwanza yeye hadate na mbebs ambaye yuko over 30, yeye anadate na under 30 only.
Unajulikana kila kona ya Tanzania?? Unafikiri Tanzania inaishia Mwenge nini? Huku Simiyu hata hatujui kwamba kuna mtu kama wewe!!
- Jamani heshima mbele sana, naomba kuwashukuru sana Jamiiforums I mean JF nimetoka nayo mbali sana na imenifikisha mbali sana na wala sio siri leo ninafahamika kila kona ya Tanzania kwa sababu ya kuanzia hapa JF, nilianza kwa majina ya bandia nikawa maarufu sana and then nikaamua kujitoa mwenyewe kama nilivyo na kuendelea kuwa maarufu, umaaurufu ambao kwa sasa unanilipa sana big time hapa mjini, sasa Mungu anasema ni muhimu sana kukumbuka ulipotokea ndio maana ndugu zangu nawapa shukrani zangu na leo nitaichangia JF Shillingi 200,000.00 za bongo.
- Again najua kwamba wengi wetu hapa tuna itikadi tofauti na sometimes tunakwaruzana sana, lakini najua kwamba wote tuna nia njema sana ya kulisimamia taifa letu, again naomba kuwaomba ,msamaha wale wote ambao nimewahi kuwakwaza kwa maneno yangu na nawasamehe wale wote walionikwaza ingawa mwendo ni ule ule tu, lakini again naomba kutoa heshima yangu kwa JF kwamba bila you JF nisingekuwa Le Mutuz making big bucks from online business najua wengi hivi karibuni wamekuwa wakiniombea kuwa Bilionea nawaahidi kwamba in 2 years tu nitakuwa kwa sababu nipo kwenye the right tracks.
MUNGU AIJALIE JF THIS IS MY HOME NA THIS IS MY BASE ALWAYS!! AND LUV YAH ALL!1
Le Mutuz Big Show
we baharia wangu unampatia sana le mutuz!pimbi yeyote hawezi kusanuka kama unamchora mshkaji ki beach boy!unamjaza sana upepo
Mmmh Haya Maneno Yametoka Kichwani Kwa Le Mutuz Kweli, Bado Sijaamini.
ntakuwa nina minyonyo kama yako au kuwa kama wewe kivipi?- Yaani akili yako inakutuma kwamba wewe na akili ndogo kama yako unaweza kunijaza mimi upepo au kunichora, tumia akili kidogo tu utaelewa kwamba wewe pia unacheza rumba langu, nenda shule utakuwa kama mimi
Le Mutuz
- Unajisema kwamba kichwa chako ni kidogo sana pole sana!1
Le Mutuz
miongoni mwa watu uliokuwa nao leo kanifungua macho!...sasa naanza kuelewa kwa nini upo hivi!dah!
- ha! ha! ha! U know this is wasap u know, jamani nimeshatuma mchango wangu wa kuishukuru JF kwa kunifikisha hapa, mchango umeshafika kwa hiyo this case is now closed tunasonga mbelezzz U know and U know I love it! ha1 ha! ha! kwa wale wenye kwi! kwi! pol;eni sana this World kuna people kama mimi we just don't care and live our super life wewe utajibeba tu sisi tunakwenda kwa mbele sasa get ready kwa Instagaram Party itakuwa ni balaaaaahaaaa U know!!
Le Mutuz
- Jamani heshima mbele sana, naomba kuwashukuru sana Jamiiforums I mean JF nimetoka nayo mbali sana na imenifikisha mbali sana na wala sio siri leo ninafahamika kila kona ya Tanzania kwa sababu ya kuanzia hapa JF, nilianza kwa majina ya bandia nikawa maarufu sana and then nikaamua kujitoa mwenyewe kama nilivyo na kuendelea kuwa maarufu, umaaurufu ambao kwa sasa unanilipa sana big time hapa mjini, sasa Mungu anasema ni muhimu sana kukumbuka ulipotokea ndio maana ndugu zangu nawapa shukrani zangu na leo nitaichangia JF Shillingi 200,000.00 za bongo.
- Again najua kwamba wengi wetu hapa tuna itikadi tofauti na sometimes tunakwaruzana sana, lakini najua kwamba wote tuna nia njema sana ya kulisimamia taifa letu, again naomba kuwaomba ,msamaha wale wote ambao nimewahi kuwakwaza kwa maneno yangu na nawasamehe wale wote walionikwaza ingawa mwendo ni ule ule tu, lakini again naomba kutoa heshima yangu kwa JF kwamba bila you JF nisingekuwa Le Mutuz making big bucks from online business najua wengi hivi karibuni wamekuwa wakiniombea kuwa Bilionea nawaahidi kwamba in 2 years tu nitakuwa kwa sababu nipo kwenye the right tracks.
MUNGU AIJALIE JF THIS IS MY HOME NA THIS IS MY BASE ALWAYS!! AND LUV YAH ALL!1
Le Mutuz Big Show
Mkuu Le baharia unatakiwa uongezee tena 100,000 maana hapa penyewe nadhani unafanya matangazo ya hiyo blog