Thank You Jamiiforums I am A Big Star and Big Celebrity Cause of You Leo Nitaichangia Tsh. 200,000!!

- Ukiwa na nafasi njoo ofisini hapa downtown hifadhi House gorofa ya 9 niulizie nikuonyeshe namba za blog yangu wanaoingia kutokea Siminyu labda ndio utaelewa kwa nini ninfahamika bongo nzima, ok!!

Le Mutuz

Nyota ya dingi unatembelea.....
 

Mkuu ntoe hata mwekundu mmoja na mie aisee.
 
Hahaha degree tatu sio mchezo,uliamua kuingia kwa angle yko mpaka umepiga bao,unavyozid mfuatilia ndo unamuelewa,vipi nasikia unafungua radio?
 
lusungo

- Mawazo ya binadam mjinga anyeamini ana akili kumbe foolish, nipo hapa siendi popote na utazidi kunisoma tu na utachangia tu maana mimi ni Big Celeb wewe sio so utanisoma tu na utachangia, sasa hivi natayarisha LE Mutuz Insta Party kama unaweza njoo ule bataz na mabebz wa ukweli kama huwezi usije subiri kuandika kilio chako hapa, kuanzia Jumatatu naanza kukutana na Wakurugenzi wa makampuni makubwa on udhamini wao on my event, wewe bakia na huu ujinga ujinga wako nenda mshauri ikibi baba yako maana ni pure foolish,

- Wenye pesa wote unaoniona nao nimeingia ubia nao, Young Bilionea Chicago nina ubia naye kwenye ICD, Davis Mosha tunafungua Radio na TV, Juma tumefungua Tanzania Solution, wewe kalia maneno ya kijinga jinga na umbeya mwanaume mzima unaona watu huwajui unaanza kujifikirisha mawazo ya kijinga wenzako tunaondoka kwa mbele, le mburulazzz just shut up na subiri kunisoma hapa!! ha1 ha!


Le Big Show
 
Last edited by a moderator:
Hahaha degree tatu sio mchezo,uliamua kuingia kwa angle yko mpaka umepiga bao,unavyozid mfuatilia ndo unamuelewa,vipi nasikia unafungua radio?

- Kumbe una akili sana umegundua kwamba ni wajinga ndio wanacheza muziki wangu bila kujijua lakini pole pole wengi mmeanza kushituka sasa, ha! ha! malengo yangu yapo sawa sasa ndio maana nimeamua kufunguka kwa mara ya kwanza ninafanya nini tutaelewana tu!!

Le Mutuz
 

VIP tumuite frola lyimo?
 
Kama unadhani ni rahisi kua kama lemutuz,basi piga picha na ww kila baada ya 1 sec unaupload halaf uone km utakua super celeb!tu appreciate ubunifu wa mtu.jamaa kajitengenezea marafiki na maadui wengi.
 
VIP tumuite frola lyimo?

- Nauli ya kuja bongo ataitoa wapi? unafanya mchezo na maisha ya majuu ndio maana mama mtumzima anajipiga picha na machupi ya wanaume unachezea ulaya unaweza kuishi maisha mazuri majuu bila kusoma shule nani alikwambia? Wazungu walitengeneza system yao kwa ajili ya wanasheria na madakitari ndio wale bataz sio Darasa la saba kutoka bongo, ndio maana unaona mama mtumzima ameishia kuchanganyikiwa, anahitaji msaadaa wa kisaikologia maana binadam mwenye akili timamu ni lazima uwe na justifications ya mambo unayoyafanya,

- Mimi mambo yangu usiyoyapenda ndio yananiingizia mapesa kibao, sasa yeye anafanya ujinga wa kujulikana tu bila kutengeneza pesa ili iwe nini? Hata wasanii wa bongo siku hizi wameshituka hawakubali bila Millioni kuanzia tano, sasa wewe mtumzima upo Ulaya halafu akili zero, please!1

Le Mutuz
 
lusungo

- ha1 ha! ha! ha! mtajibeba huko majuu mtuwanguz poleni sana na mabaridi, unataka niache haya maisha yangu mapya ninajiajiri mwenyewe, ninaenda kazini saa ninayotaka, situmii nguvu sana ila akili zaidi, sina madeni, ninaalikwa kwenye masherehe kila siku, kwa mfano leo nimealikwa kama sehemu sita, kote humu wanataka nije kwenye media niseme nilikuwepo tu, unaona nilipokuwa huko nilivyokuwa nimekonda? please!!

- Nije nirudi huko kwenye hayo maisha tena? ha! ha1 kumbe hunipendi sana sawa bana!1

Le Mutuz
 
Last edited by a moderator:
Kama unadhani ni rahisi kua kama lemutuz,basi piga picha na ww kila baada ya 1 sec unaupload halaf uone km utakua super celeb!tu appreciate ubunifu wa mtu.jamaa kajitengenezea marafiki na maadui wengi.

- Nimejitengenezea marafiki wengi muhimu katika kuelekea lengo langu la kuwa Bilionea, nimejitengenezea maadui kwa sababu ya msimamo wangu wa kuipenda CCM ila ni maadui ambao ni brainless kwa sababu I amke them dance to my tunes halafu ninawapenda sana kwa sababu wangekuwa na akili wangeacha kujikimbiza kwenye hizi threads na kuzifanya kuwa kubwa na ndefu kila ninapotajwa kwa sababu ndio wanazidi kuniongezea umaarufu ambao unaishia kunilipa,

- Jumatatu nimealikwa kufanya kipindi na Penny kwenye Radio na TV kuhusu Insta party, sasa wewe mwenye maadili mbona hawajakuita ukaongeee maadili yako? I mean people Dunia imebadilika sasa ni Capitalism ambayo huwa haijali maadili inajali talent kuna ambao mnadhani kwamba bado dunia ni ile ile ya kizamani ya ujamaa imepita ile!!

Le Mutuz
 

Duuh yani kila swali unalopachikwA jibu unalo mie hapo ndio unaniacha hoiiii!!!!!!
 
Duuh yani kila swali unalopachikwA jibu unalo mie hapo ndio unaniacha hoiiii!!!!!!

- Ni kwa sababu nina maakili mengi sana kuliko mburulazzz wengi humu ndani ambao wamekuwa wakicheza muziki wangu kwa muda mrefu bila kujijua, nilianza na majina ya bandia nikawa maarufu sana nikashituka nikaamua kuwachana nayo na kutumia jina langu la kweli kwa vile nilishajijengea jina kubwa kwa majina ya bandia na kulikuwa na speculation kuwa ni mimi siku na shida ku-Capitalize on that, and nikaamua kuanzisha my own blog na kuanza kulipwa sasa nimeisajili ni kampuni ina ofisi gerezani, nimeajiri vijana 3 sasa na siigusi sana kama zamani nimewaachia vijana, sasa leo ukiniuliza kwa nini unakubali kutukanwa kwenye mitandao au kwenye mitandao ninafanya nini nina a clear justification na kama una akili timamu ni lazima uikubali unless upo retarded,

- Nimeapa kwamba Miaka 5 from lazima niwe nimeachana na mambo ya blog naelekea kwenye biashara zingine kubwa zaidi ambazo tayari nimeshajikita kwa kuingia ubia na matajiri wengi wakubwa hapa mjini, sasa lets say nina miaka 55 na 60 kama maadui zangu wanavyodai unasema nipo kwenye the wrong track ya maisha tena baada ya miaka 3 tu ya kurudi bongo kutoka nje na kuja kuanza upya hapa?

- I mean unaweza kuongea pumba kufurshisha baraza tu hapa lakini deep down unajua kwamba nina akili nyingi sana kuliko wengi humu wanaojifanya wana akili, Wamarekani wanasema binadam yoyote anayeweza kuongea lugha zaidi ya moja kama nilivyo lazima ana akili sana, na kwamba binadam yoyote ambaye anaweza kuanzisha thread ya kumhusu humu JF kwa siku mbili tu akaweza kugenerate page 8 kama nilivyofanya hapa basi huyo mtu ana akili sana halafu tena Google wanasema kwamba blog yangu toka ianzishwe 2 years ago imeingia visitors Millioni 11 wanasema kwa mahesabu yao ya kisayansi kati ya hawa Millioni 5 ni wafuasi wangu wa karibu sana ambao ninaweza kuwa-influence kwa njia moja au nyingine as I wish sasa tizama nimesema jana tu kuhusu Insta party sasa hivi Isntagram nzima inawaka moto watu wanataka kuja, wadhamini makampuni makubwa wananipigia simu all the times wanataka kuja kudhamini the event, sasa unasema haya yote yanaweza kufanywa na mtu asiye na akili please wewe unayesema hivyo ndio huna akili, so people jifunze maana ya kuishi kwenye Capitalism World that is all I do

- Ukishakuwa na akili kama mimi ndio unaweza kufikiria namna ya ku-benefit kwenye any kind of situation kwa sababu unapima tu faida na hasara kabla ya kujiingiza, kuna wana CCM wenzangu walikuw ahawapendi sana ushiriki wangu hapa lakini leo baada ya kunielewa I am hero huko ndani, so kaka tuliza boli nisome vizuri mkuu nipo sawa sana kichwani, ndio maana nilipokuwa nasoma ile Degree yangu ya Criiminology Wamarekani waliniomba sana wanipe uraia waniajiri nikawakatalia kata kata, nikiwa pale Shuleni siku niliandika paper kuhusu Death Penalty, Wamarekani wengi hawaipendi hasa darasa nililokuwamo, lakini niliandika paper ambayo nilikuwa ninaunga mkono Death Penalty na kwa kawaida mimi ni muumini wa theory za jino kwa jino ni paper ambayo ilishika namba moja pale shuleni na kilichowashangaza Wamarekani pale shuleni ni jinsi nilivyoifanyia research ile paper kwa kuonyesha wauaji wengi waliohukumiwa kunyongwa maneno walioyasema kabla ya kunyongwa yanaonyesha kwamba waliojaribu sana kutubu na kuomba kusamehewa kama inawezakana maana yake ni kwamba theory ya jino kwa jino ni nzuri sana kwa sababu binadam akibanwa kwenye kilipwa uovu wake huwa hana jinsi ila kuomba msamaha,

- One thing ni kwamba ninajitambua sana na ndio nawachezea sana humu kwa sababu najua wengi hawajitambui hapa, maana ile kutumia jina la bandia kwa mtu mwenye akili ni dalili tosha za kutojitambua I can go on and on lakini naomba niishie hapa!1

Le big Show
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…