Duuh yani kila swali unalopachikwA jibu unalo mie hapo ndio unaniacha hoiiii!!!!!!
- Ni kwa sababu nina maakili mengi sana kuliko mburulazzz wengi humu ndani ambao wamekuwa wakicheza muziki wangu kwa muda mrefu bila kujijua, nilianza na majina ya bandia nikawa maarufu sana nikashituka nikaamua kuwachana nayo na kutumia jina langu la kweli kwa vile nilishajijengea jina kubwa kwa majina ya bandia na kulikuwa na speculation kuwa ni mimi siku na shida ku-Capitalize on that, and nikaamua kuanzisha my own blog na kuanza kulipwa sasa nimeisajili ni kampuni ina ofisi gerezani, nimeajiri vijana 3 sasa na siigusi sana kama zamani nimewaachia vijana, sasa leo ukiniuliza kwa nini unakubali kutukanwa kwenye mitandao au kwenye mitandao ninafanya nini nina a clear justification na kama una akili timamu ni lazima uikubali unless upo retarded,
- Nimeapa kwamba Miaka 5 from lazima niwe nimeachana na mambo ya blog naelekea kwenye biashara zingine kubwa zaidi ambazo tayari nimeshajikita kwa kuingia ubia na matajiri wengi wakubwa hapa mjini, sasa lets say nina miaka 55 na 60 kama maadui zangu wanavyodai unasema nipo kwenye the wrong track ya maisha tena baada ya miaka 3 tu ya kurudi bongo kutoka nje na kuja kuanza upya hapa?
- I mean unaweza kuongea pumba kufurshisha baraza tu hapa lakini deep down unajua kwamba nina akili nyingi sana kuliko wengi humu wanaojifanya wana akili, Wamarekani wanasema binadam yoyote anayeweza kuongea lugha zaidi ya moja kama nilivyo lazima ana akili sana, na kwamba binadam yoyote ambaye anaweza kuanzisha thread ya kumhusu humu JF kwa siku mbili tu akaweza kugenerate page 8 kama nilivyofanya hapa basi huyo mtu ana akili sana halafu tena Google wanasema kwamba blog yangu toka ianzishwe 2 years ago imeingia visitors Millioni 11 wanasema kwa mahesabu yao ya kisayansi kati ya hawa Millioni 5 ni wafuasi wangu wa karibu sana ambao ninaweza kuwa-influence kwa njia moja au nyingine as I wish sasa tizama nimesema jana tu kuhusu Insta party sasa hivi Isntagram nzima inawaka moto watu wanataka kuja, wadhamini makampuni makubwa wananipigia simu all the times wanataka kuja kudhamini the event, sasa unasema haya yote yanaweza kufanywa na mtu asiye na akili please wewe unayesema hivyo ndio huna akili, so people jifunze maana ya kuishi kwenye Capitalism World that is all I do
- Ukishakuwa na akili kama mimi ndio unaweza kufikiria namna ya ku-benefit kwenye any kind of situation kwa sababu unapima tu faida na hasara kabla ya kujiingiza, kuna wana CCM wenzangu walikuw ahawapendi sana ushiriki wangu hapa lakini leo baada ya kunielewa I am hero huko ndani, so kaka tuliza boli nisome vizuri mkuu nipo sawa sana kichwani, ndio maana nilipokuwa nasoma ile Degree yangu ya Criiminology Wamarekani waliniomba sana wanipe uraia waniajiri nikawakatalia kata kata, nikiwa pale Shuleni siku niliandika paper kuhusu Death Penalty, Wamarekani wengi hawaipendi hasa darasa nililokuwamo, lakini niliandika paper ambayo nilikuwa ninaunga mkono Death Penalty na kwa kawaida mimi ni muumini wa theory za jino kwa jino ni paper ambayo ilishika namba moja pale shuleni na kilichowashangaza Wamarekani pale shuleni ni jinsi nilivyoifanyia research ile paper kwa kuonyesha wauaji wengi waliohukumiwa kunyongwa maneno walioyasema kabla ya kunyongwa yanaonyesha kwamba waliojaribu sana kutubu na kuomba kusamehewa kama inawezakana maana yake ni kwamba theory ya jino kwa jino ni nzuri sana kwa sababu binadam akibanwa kwenye kilipwa uovu wake huwa hana jinsi ila kuomba msamaha,
- One thing ni kwamba ninajitambua sana na ndio nawachezea sana humu kwa sababu najua wengi hawajitambui hapa, maana ile kutumia jina la bandia kwa mtu mwenye akili ni dalili tosha za kutojitambua I can go on and on lakini naomba niishie hapa!1
Le big Show