- ha! Ha! Tutaelewana tu!!
Le mutuz
anhaa! Mama yake mzazi ni yupi labda.?
Kabila la mama, mzee malecela tumweke pemben kwanza. Kuna kitu nataka chunguza juu ya huyu bwana.
- ha! ha! ha1 ha! ha1 ha! ha!
Le Big Show
leo upo N.Y.? wewe kweli kiboko kazi za serikali unafanya muda gani? kumbe unatamani sana kufika marekani?We jamaa acha Sifa za kipuuzi na utoto...
unalipwa kuandika hapa? yaani bora ungebaki hapa NY kuliko kurudi huko ulikofulia mpaka unajikomba kwa wenyenazo na kutwa kushinda na mademu...
sema tukuchangie urudi NY kuliko kumtia aibu baba yako
leo upo N.Y.? wewe kweli kiboko kazi za serikali unafanya muda gani? kumbe unatamani sana kufika marekani?
aliyekudanganya marekani watu wanabeba box nani?
- Mawazo ya binadam mjinga anyeamini ana akili kumbe foolish, nipo hapa siendi popote na utazidi kunisoma tu na utachangia tu maana mimi ni Big Celeb wewe sio so utanisoma tu na utachangia, sasa hivi natayarisha LE Mutuz Insta Party kama unaweza njoo ule bataz na mabebz wa ukweli kama huwezi usije subiri kuandika kilio chako hapa, kuanzia Jumatatu naanza kukutana na Wakurugenzi wa makampuni makubwa on udhamini wao on my event, wewe bakia na huu ujinga ujinga wako nenda mshauri ikibi baba yako maana ni pure foolish,
- Wenye pesa wote unaoniona nao nimeingia ubia nao, Young Bilionea Chicago nina ubia naye kwenye ICD, Davis Mosha tunafungua Radio na TV, Juma tumefungua Tanzania Solution, wewe kalia maneno ya kijinga jinga na umbeya mwanaume mzima unaona watu huwajui unaanza kujifikirisha mawazo ya kijinga wenzako tunaondoka kwa mbele, le mburulazzz just shut up na subiri kunisoma hapa!! ha1 ha!
Le Big Show
U know,Le big party ndani ya escape 1 litamaliza utata .Mabebz wakaree toka kila kona ya jiji.wasisahau Zari ndani Kama kawa.
mkuu kitu mmoja ndo huwa unakosea na hicho kitu kitakujengea a lot of unknown enemies. Punguza matusi na dharau .ukiacha hayo utakuwa successful sana .Ila ukiendelea nayo jua unatengeneza idadi kubwa ya watu ambao they will do anything within their power to drag you down
Sema Wewe Mkuu, Huwa Anaukataa Umri Wake, Kweli Aliruka Stage Ndomaana.
- bila maneno ya shombo usingekuja kuandika hapa wewe mburulazzz nyamaza tu enjoy the show maana hapa unachat na Big Celeb Le Mutuz Big Show wacha kulia lia enjoy the show!!
Le Mutuz
- Jamani heshima mbele sana, naomba kuwashukuru sana Jamiiforums I mean JF nimetoka nayo mbali sana na imenifikisha mbali sana na wala sio siri leo ninafahamika kila kona ya Tanzania kwa sababu ya kuanzia hapa JF, nilianza kwa majina ya bandia nikawa maarufu sana and then nikaamua kujitoa mwenyewe kama nilivyo na kuendelea kuwa maarufu, umaaurufu ambao kwa sasa unanilipa sana big time hapa mjini, sasa Mungu anasema ni muhimu sana kukumbuka ulipotokea ndio maana ndugu zangu nawapa shukrani zangu na leo nitaichangia JF Shillingi 200,000.00 za bongo.
- Again najua kwamba wengi wetu hapa tuna itikadi tofauti na sometimes tunakwaruzana sana, lakini najua kwamba wote tuna nia njema sana ya kulisimamia taifa letu, again naomba kuwaomba ,msamaha wale wote ambao nimewahi kuwakwaza kwa maneno yangu na nawasamehe wale wote walionikwaza ingawa mwendo ni ule ule tu, lakini again naomba kutoa heshima yangu kwa JF kwamba bila you JF nisingekuwa Le Mutuz making big bucks from online business najua wengi hivi karibuni wamekuwa wakiniombea kuwa Bilionea nawaahidi kwamba in 2 years tu nitakuwa kwa sababu nipo kwenye the right tracks.
MUNGU AIJALIE JF THIS IS MY HOME NA THIS IS MY BASE ALWAYS!! AND LUV YAH ALL!1
Le Mutuz Big Show
Egotistic benevolence.
Idiocratic self promotion.
Vacuous vanguardism.
Ha ha ha ha unayoandika na umri ulionao ni vitu viwili tofauti!!!
Hivi unajua watu wa umri wako wapo mbali Sana kimaisha...kimaadili hata jamii inawaheshimu?
Hivi wewe mtu wa 50s unatoa shombo ambazo hata mtoto wa form four hawez toa unamatizo ya akili...
Unawadhalilisha Sana new yorkers maana huna exposure kabisa....
Mwili Nyumba akili kistuli.
You are too low!!
- Nonsense utabeba mabox huko majuu mpaka mwisho wa Dunia rudi bongo uone rumba,
Le Mutuz
Haya poa umesomeka. Lakini kulikuwa hakuna haja ya matusi.- Kaka nahitaji sana unknown enemies wawe wengi ndio maana ninaweza kukohoa tu hapa JF ninakuwa na page 9 jaribu na wewe kufungua thread yako kama utapata page 9 never ni kwa sababu huna enemies, huna lolote kubwa kwenye jamii, jina lako ni dogo sana huwezi kujilinganisha na Le Mutuz Big show, leo kuna Mkuu mmoja mzito wa Upinzani amenialika nyumbani kwake kula futari anasema hii thread imemfanya anataka kuniona kwa mara ya kwanza uso kwa uso maana imemchanganya sana, na ni mbebezz sasa unaona wewe huwezi kualikwa na mtu yoyote maana lugha yako ni nzuri sana wananchi wanataka mtu mtata kama mimi,
- the more my enemies wanavyo plan kuni drag down ni more wananipa akili ya kuwashinda bila challenges huwezi kuwa kama Le Big Show, so chukua ushauri wako nenda to your toilet and flash it with you maana ni ushauri wa kijinga sana tokaq nizaliwe mtu ananisahuri kuwa mjinga na muoga muoga le mburulazzz!!
Le Mutuz