Thank You Jamiiforums I am A Big Star and Big Celebrity Cause of You Leo Nitaichangia Tsh. 200,000!!

Thank You Jamiiforums I am A Big Star and Big Celebrity Cause of You Leo Nitaichangia Tsh. 200,000!!

mkuu kitu mmoja ndo huwa unakosea na hicho kitu kitakujengea a lot of unknown enemies. Punguza matusi na dharau .ukiacha hayo utakuwa successful sana .Ila ukiendelea nayo jua unatengeneza idadi kubwa ya watu ambao they will do anything within their power to drag you down
 
anhaa! Mama yake mzazi ni yupi labda.?
Kabila la mama, mzee malecela tumweke pemben kwanza. Kuna kitu nataka chunguza juu ya huyu bwana.

- ha! ha! ha1 ha! ha1 ha! ha!

Le Big Show

Duuh, kweli Le billionea in 2 yrs, umekomaa katika nyanja hizi za mtandaoni, nimeipenda hii response. By the way, leo for the first time nimetembelea blog yako nakuona zile picha za "bethidei", kama thread ilikuwa ni sehemu ya strategic manipulation, umefanikiwa.
 
We jamaa acha Sifa za kipuuzi na utoto...

unalipwa kuandika hapa? yaani bora ungebaki hapa NY kuliko kurudi huko ulikofulia mpaka unajikomba kwa wenyenazo na kutwa kushinda na mademu...

sema tukuchangie urudi NY kuliko kumtia aibu baba yako
leo upo N.Y.? wewe kweli kiboko kazi za serikali unafanya muda gani? kumbe unatamani sana kufika marekani?

aliyekudanganya marekani watu wanabeba box nani?
 
leo upo N.Y.? wewe kweli kiboko kazi za serikali unafanya muda gani? kumbe unatamani sana kufika marekani?

aliyekudanganya marekani watu wanabeba box nani?

Hivi hujaniweka tu kwenye ignore list?

Nakuonea huruma kwakujifanya mjuaji kumbe sifuri....

Unajua ninafanya idara gani serikalini? Unajua NY kuna ofisi zipi zenye wafanyakazi wa Tanzania?

Mkuu niweke tu kwenye ignore list yako maana muda mchafu na wasio na kazi sina....
 
- Mawazo ya binadam mjinga anyeamini ana akili kumbe foolish, nipo hapa siendi popote na utazidi kunisoma tu na utachangia tu maana mimi ni Big Celeb wewe sio so utanisoma tu na utachangia, sasa hivi natayarisha LE Mutuz Insta Party kama unaweza njoo ule bataz na mabebz wa ukweli kama huwezi usije subiri kuandika kilio chako hapa, kuanzia Jumatatu naanza kukutana na Wakurugenzi wa makampuni makubwa on udhamini wao on my event, wewe bakia na huu ujinga ujinga wako nenda mshauri ikibi baba yako maana ni pure foolish,

- Wenye pesa wote unaoniona nao nimeingia ubia nao, Young Bilionea Chicago nina ubia naye kwenye ICD, Davis Mosha tunafungua Radio na TV, Juma tumefungua Tanzania Solution, wewe kalia maneno ya kijinga jinga na umbeya mwanaume mzima unaona watu huwajui unaanza kujifikirisha mawazo ya kijinga wenzako tunaondoka kwa mbele, le mburulazzz just shut up na subiri kunisoma hapa!! ha1 ha!

Le Big Show

Duh!!!GIVING BACK TO COMMUNITY IS ALSO IMPORTANTAS A "CELEBRITY"...DO YOU HAVE A FOUNDATION. .OR THOUGHT OF SOME??..SPLASH IT..BUT ALSO SPLIT IT...
 
U know,Le big party ndani ya escape 1 litamaliza utata .Mabebz wakaree toka kila kona ya jiji.wasisahau Zari ndani Kama kawa.

- Yaani wee wacha tu nenda kule Insta yangu uone Super Zari alichoniandikia leo yaani raha mpaka moyoni, bila mitandao nisingemjua na guess alianiachia pesa ngapi ili nilipie birhtday party yangu na anakuja tena subiri tu mkuu!1

Le Mutuz
 
mkuu kitu mmoja ndo huwa unakosea na hicho kitu kitakujengea a lot of unknown enemies. Punguza matusi na dharau .ukiacha hayo utakuwa successful sana .Ila ukiendelea nayo jua unatengeneza idadi kubwa ya watu ambao they will do anything within their power to drag you down

- Kaka nahitaji sana unknown enemies wawe wengi ndio maana ninaweza kukohoa tu hapa JF ninakuwa na page 9 jaribu na wewe kufungua thread yako kama utapata page 9 never ni kwa sababu huna enemies, huna lolote kubwa kwenye jamii, jina lako ni dogo sana huwezi kujilinganisha na Le Mutuz Big show, leo kuna Mkuu mmoja mzito wa Upinzani amenialika nyumbani kwake kula futari anasema hii thread imemfanya anataka kuniona kwa mara ya kwanza uso kwa uso maana imemchanganya sana, na ni mbebezz sasa unaona wewe huwezi kualikwa na mtu yoyote maana lugha yako ni nzuri sana wananchi wanataka mtu mtata kama mimi,

- the more my enemies wanavyo plan kuni drag down ni more wananipa akili ya kuwashinda bila challenges huwezi kuwa kama Le Big Show, so chukua ushauri wako nenda to your toilet and flash it with you maana ni ushauri wa kijinga sana tokaq nizaliwe mtu ananisahuri kuwa mjinga na muoga muoga le mburulazzz!!

Le Mutuz
 
Sema Wewe Mkuu, Huwa Anaukataa Umri Wake, Kweli Aliruka Stage Ndomaana.

- Sijui stage ipi hiyo unayoismea maana kama ni mitandao haikuwepo then ipo sasa kama ni mabebz nilikuwa baharia nikiwa 17 sasa niambie nimewaona wangapi, kama ni hapa mjini kabla sijaondoka kwenda majuu nilikuwa nauza siagi big time so I was just fine, pole sana mamen wivu tu unakusumbua na chuki ila mimi mwendo ni ule ule!!

Le Mutuz
 
Egotistic benevolence.
Idiocratic self promotion.
Vacuous vanguardism.
 
- bila maneno ya shombo usingekuja kuandika hapa wewe mburulazzz nyamaza tu enjoy the show maana hapa unachat na Big Celeb Le Mutuz Big Show wacha kulia lia enjoy the show!!

Le Mutuz

Ha ha ha ha unayoandika na umri ulionao ni vitu viwili tofauti!!!

Hivi unajua watu wa umri wako wapo mbali Sana kimaisha...kimaadili hata jamii inawaheshimu?

Hivi wewe mtu wa 50s unatoa shombo ambazo hata mtoto wa form four hawez toa unamatizo ya akili...

Unawadhalilisha Sana new yorkers maana huna exposure kabisa....

Mwili Nyumba akili kistuli.

You are too low!!
 
- Jamani heshima mbele sana, naomba kuwashukuru sana Jamiiforums I mean JF nimetoka nayo mbali sana na imenifikisha mbali sana na wala sio siri leo ninafahamika kila kona ya Tanzania kwa sababu ya kuanzia hapa JF, nilianza kwa majina ya bandia nikawa maarufu sana and then nikaamua kujitoa mwenyewe kama nilivyo na kuendelea kuwa maarufu, umaaurufu ambao kwa sasa unanilipa sana big time hapa mjini, sasa Mungu anasema ni muhimu sana kukumbuka ulipotokea ndio maana ndugu zangu nawapa shukrani zangu na leo nitaichangia JF Shillingi 200,000.00 za bongo.

- Again najua kwamba wengi wetu hapa tuna itikadi tofauti na sometimes tunakwaruzana sana, lakini najua kwamba wote tuna nia njema sana ya kulisimamia taifa letu, again naomba kuwaomba ,msamaha wale wote ambao nimewahi kuwakwaza kwa maneno yangu na nawasamehe wale wote walionikwaza ingawa mwendo ni ule ule tu, lakini again naomba kutoa heshima yangu kwa JF kwamba bila you JF nisingekuwa Le Mutuz making big bucks from online business najua wengi hivi karibuni wamekuwa wakiniombea kuwa Bilionea nawaahidi kwamba in 2 years tu nitakuwa kwa sababu nipo kwenye the right tracks.

MUNGU AIJALIE JF THIS IS MY HOME NA THIS IS MY BASE ALWAYS!! AND LUV YAH ALL!1

Le Mutuz Big Show

'Again' you are welcome
 
Ha ha ha ha unayoandika na umri ulionao ni vitu viwili tofauti!!!

Hivi unajua watu wa umri wako wapo mbali Sana kimaisha...kimaadili hata jamii inawaheshimu?

Hivi wewe mtu wa 50s unatoa shombo ambazo hata mtoto wa form four hawez toa unamatizo ya akili...

Unawadhalilisha Sana new yorkers maana huna exposure kabisa....

Mwili Nyumba akili kistuli.

You are too low!!

- Unaamini kweli kwamba Bodi ya leseni wanaweza kumpa kichaa unayemsema leseni ya kuendesha TV na RAdio Tanzania hebu mtaje mmoja waliowahi kumpa? Halafu unaamini makampuni makubwa kama Airtel na Voda wanaweza kufanya biashara na huyo unayemsema asiye na akili? ha! ha! ha! eti wewe una mri gani si uweke hapa mafanikio yako at age 20 ndio unaweza kuwa na hiyo nguvu ya kshambulia walio 50 na hawana kitu, kwa hiyo una maana watu wote Tanzania wenye 50 wana maisha mazuri kasoro mimi? ha! ha1 ha! unaona mburulazzz akili zako zilivyo ndogo sana huzuni tupu!!

Le Mutuz
 
- Nonsense utabeba mabox huko majuu mpaka mwisho wa Dunia rudi bongo uone rumba,

Le Mutuz

Kwa nini nirudi bongo?

Hususan kama wewe mwenyewe uliye bongo unaniambia kuna rumba.

Kwa nini nirudi bongo?

How is this about me while you are the one parading your parasitic philanthropy?
 
- Kaka nahitaji sana unknown enemies wawe wengi ndio maana ninaweza kukohoa tu hapa JF ninakuwa na page 9 jaribu na wewe kufungua thread yako kama utapata page 9 never ni kwa sababu huna enemies, huna lolote kubwa kwenye jamii, jina lako ni dogo sana huwezi kujilinganisha na Le Mutuz Big show, leo kuna Mkuu mmoja mzito wa Upinzani amenialika nyumbani kwake kula futari anasema hii thread imemfanya anataka kuniona kwa mara ya kwanza uso kwa uso maana imemchanganya sana, na ni mbebezz sasa unaona wewe huwezi kualikwa na mtu yoyote maana lugha yako ni nzuri sana wananchi wanataka mtu mtata kama mimi,

- the more my enemies wanavyo plan kuni drag down ni more wananipa akili ya kuwashinda bila challenges huwezi kuwa kama Le Big Show, so chukua ushauri wako nenda to your toilet and flash it with you maana ni ushauri wa kijinga sana tokaq nizaliwe mtu ananisahuri kuwa mjinga na muoga muoga le mburulazzz!!

Le Mutuz
Haya poa umesomeka. Lakini kulikuwa hakuna haja ya matusi.
 
Back
Top Bottom