Thank You Jamiiforums I am A Big Star and Big Celebrity Cause of You Leo Nitaichangia Tsh. 200,000!!

Thank You Jamiiforums I am A Big Star and Big Celebrity Cause of You Leo Nitaichangia Tsh. 200,000!!

Mods Active Paw ..

Naona mmeweka alama ya R.I.P Kwa le mutuza na amekufa Leo...
Naomba muweke Kwa wote waliotangazwa wamefariki hapa JF..
Dena Amsi katangazwa kufa miaka imepita lakini hamjamuekea hiyo alama
 
Unajulikana kila kona ya Tanzania?? Unafikiri Tanzania inaishia Mwenge nini? Huku Simiyu hata hatujui kwamba kuna mtu kama wewe!!
Leo salamu za rambirambi zinatoka hadi Simiyu, Nyawa, Ihale, Ilumya, Shigala, Lamadi, Hadi Ntuzu
 
Back
Top Bottom