NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Siku zote tajiri hapewi msaada.tajiri hukopa hta km hela anazo ili huo mradi utakuja jilipa miaka ya badae..ila maskini hupewa donationsSasa kuliko tupigwe kama mlivyonyukwa na mchina kwenye SGR si bora sisi tunapewa bwerere
Nyinyi endeleeni kutapeliwa mpaka mwisho wa dunia sisi tutatumia kila mbinu kuhakikisha tunapata real deals au free deals kabisa and we are on
They are in kibera nowI am probably the only Kenyan contributor that gets pissed off when every argument turns to Kibera and Ldc, where did fact based arguments move to ?
Siku zote tajiri hapewi msaada.tajiri hukopa hta km hela anazo ili huo mradi utakuja jilipa miaka ya badae..ila maskini hupewa donations
China donates rice to Kenya to help fight hunger – Peril Of AfricaSiku zote tajiri hapewi msaada.tajiri hukopa hta km hela anazo ili huo mradi utakuja jilipa miaka ya badae..ila maskini hupewa donations
China donates rice to Kenya to help fight hunger – Peril Of Africa
Taarifa zenu kwamba mnasaidiwa mpaka chakula tunazo
Ukiniletea ushahidi wowote Tanzania ikisaidiwa hata gallon la cooking oil nitakupa kiroba cha mchele
Ni wapi Tanzania inasaidiwa chakula hapo?
Illiteracy mbaya.. You can't even comprehend figures and diagramsNi wapi Tanzania inasaidiwa chakula hapo?
Lakini un wanajuwa tanzania kunwa 30ml maskini...endeleeni kuficha umaskini tu..mtapata tabu sana...mwanzo vp kuhusu kageraChina donates rice to Kenya to help fight hunger – Peril Of Africa
Taarifa zenu kwamba mnasaidiwa mpaka chakula tunazo
Ukiniletea ushahidi wowote Tanzania ikisaidiwa hata gallon la cooking oil nitakupa kiroba cha mchele
Kwhvo watanzania matajiri...kisa mnanunua madiwani na wabunge...hahaaa!!!wacha mchel uje....tutaongezea na huu wenye tuko nao..maisha yanasonga..Ni wapi Tanzania inasaidiwa chakula hapo?