Thank You Japan

Thank You Japan

Ombaomba iko kwa damu yao maanake hata hapa Nairobi ombaomba 90% ni Watanzania.
 
Sasa kuliko tupigwe kama mlivyonyukwa na mchina kwenye SGR si bora sisi tunapewa bwerere

Nyinyi endeleeni kutapeliwa mpaka mwisho wa dunia sisi tutatumia kila mbinu kuhakikisha tunapata real deals au free deals kabisa and we are on
Siku zote tajiri hapewi msaada.tajiri hukopa hta km hela anazo ili huo mradi utakuja jilipa miaka ya badae..ila maskini hupewa donations
 
I am probably the only Kenyan contributor that gets pissed off when every argument turns to Kibera and Ldc, where did fact based arguments move to ?
 
They are in kibera now
 
Siku zote tajiri hapewi msaada.tajiri hukopa hta km hela anazo ili huo mradi utakuja jilipa miaka ya badae..ila maskini hupewa donations

Siku zote tajiri hapewi msaada.tajiri hukopa hta km hela anazo ili huo mradi utakuja jilipa miaka ya badae..ila maskini hupewa donations
China donates rice to Kenya to help fight hunger – Peril Of Africa

Taarifa zenu kwamba mnasaidiwa mpaka chakula tunazo

Ukiniletea ushahidi wowote Tanzania ikisaidiwa hata gallon la cooking oil nitakupa kiroba cha mchele
 
africa-global-imr.jpg

20131019_gdm975.png
Africa-UN.jpg

nepad_nutrition_map001.png
 
Ni wapi Tanzania inasaidiwa chakula hapo?
Kwhvo watanzania matajiri...kisa mnanunua madiwani na wabunge...hahaaa!!!wacha mchel uje....tutaongezea na huu wenye tuko nao..maisha yanasonga..
vp kuhusu ile pesa ya ndani..au mumeshaanza kukopa
 
Back
Top Bottom