Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msukuma hanaga time na wazushi yuko zake villa anakula goodtime.
Hizo kwa kimombo wanaziitaga 'happening in the sidelines', yaani ni kama kazi ya ziada. Hao wawekezaji ndio wamemfata wakapata nafasi ya kuwa kwenye kikao hicho, kupitia serikali yao.Wakenya kweli mmechoka,,yaani wawekezaji mpaka muwende kuwabembeleza huko ughaibuni,,halafu mnatiliana mikataba ya kihuni huko kwao
Huku kwetu hakuna haja ya kuwafuata huko,,wanakuja wenyewe kwa gharama zao then tunaweka makubaliano mezani
Kalaghabhaho..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja ziara itakapoisha, hapo sasa ndio tutathmini kwa kina tujue kama ilikuwa ya mafanikio au la. Kumbuka anaiwakilisha Afrika mashariki yote, ndio maana Trump alipanga waongee na rais Kenyatta kuhusu S.Sudan.Yaani rais mzima kapanda ,kutoka Nairobi yeye na first lady hadi washington,bila kusahau delegation yake kaenda kusign deal ya $230mil(hizo ni hela za wawekezaji siyo za Wakenya) lkn kuna mdau mwingine katoka Magogoni kaenda bandarini (less than 20km) kapiga makufuli kwny makontena soon tunapokea dola mil 300,hizo ni hela za Wabongo wannweza fanya chochote.KUPANGA NI KUCHAGUA
what happened to the $180b you were to get from Acacia?Yaani rais mzima kapanda ,kutoka Nairobi yeye na first lady hadi washington,bila kusahau delegation yake kaenda kusign deal ya $230mil(hizo ni hela za wawekezaji siyo za Wakenya) lkn kuna mdau mwingine katoka Magogoni kaenda bandarini (less than 20km) kapiga makufuli kwny makontena soon tunapokea dola mil 300,hizo ni hela za Wabongo wannweza fanya chochote.KUPANGA NI KUCHAGUA
Hizo kwa kimombo wanaziitaga 'happening in the sidelines', yaani ni kama kazi ya ziada. Hao wawekezaji ndio wamemfata wakapata nafasi ya kuwa kwenye kikao hicho, kupitia serikali yao.
Huku jamaa yupo busy kununua wapinzani na kuhakikisha awamu yote hii ni kufanya chaguzi za marudio.
No a single coin has been paid up to this juncture ma friend.what happened to the $180b you were to get from Acacia?
Kubali tu Ndugu, Jiwe hawezi pata hizi opportunity..ataongea nini kwanza..!?Yaani rais mzima kapanda ,kutoka Nairobi yeye na first lady hadi washington,bila kusahau delegation yake kaenda kusign deal ya $230mil(hizo ni hela za wawekezaji siyo za Wakenya) lkn kuna mdau mwingine katoka Magogoni kaenda bandarini (less than 20km) kapiga makufuli kwny makontena soon tunapokea dola mil 300,hizo ni hela za Wabongo wannweza fanya chochote.KUPANGA NI KUCHAGUA