Thank you Mr. President, two US companies sign deal to invest in Kenya

Bado hazitoshi ..Ongeza mboga... zinafaa zifike angalau $500m total
 
Hizi ndio ziara ambazo zina mikakati na mpangilio ya maana, mafanikio ya kikao cha rais Uhuru Kenyatta na hawa wawekezaji tayari yapo wazi. Kudos to the president! Hajakenua kenua na hii fursa.
 
Wakenya kweli mmechoka,,yaani wawekezaji mpaka muwende kuwabembeleza huko ughaibuni,,halafu mnatiliana mikataba ya kihuni huko kwao

Huku kwetu hakuna haja ya kuwafuata huko,,wanakuja wenyewe kwa gharama zao then tunaweka makubaliano mezani

Kalaghabhaho..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani rais mzima kapanda ,kutoka Nairobi yeye na first lady hadi washington,bila kusahau delegation yake kaenda kusign deal ya $230mil(hizo ni hela za wawekezaji siyo za Wakenya) lkn kuna mdau mwingine katoka Magogoni kaenda bandarini (less than 20km) kapiga makufuli kwny makontena soon tunapokea dola mil 300,hizo ni hela za Wabongo wannweza fanya chochote.KUPANGA NI KUCHAGUA
 
Hizo kwa kimombo wanaziitaga 'happening in the sidelines', yaani ni kama kazi ya ziada. Hao wawekezaji ndio wamemfata wakapata nafasi ya kuwa kwenye kikao hicho, kupitia serikali yao.
 
Ngoja ziara itakapoisha, hapo sasa ndio tutathmini kwa kina tujue kama ilikuwa ya mafanikio au la. Kumbuka anaiwakilisha Afrika mashariki yote, ndio maana Trump alipanga waongee na rais Kenyatta kuhusu S.Sudan.
 
what happened to the $180b you were to get from Acacia?
 
Hizo kwa kimombo wanaziitaga 'happening in the sidelines', yaani ni kama kazi ya ziada. Hao wawekezaji ndio wamemfata wakapata nafasi ya kuwa kwenye kikao hicho, kupitia serikali yao.

That makes sense maana nilidhania Uhuru anapiga sahihi na serikali ya marekani lakini nilipoona wameweka sahihi na kampuni ya kibinafsi nikachanganyikiwa kidogo. 🙂
 
Kubali tu Ndugu, Jiwe hawezi pata hizi opportunity..ataongea nini kwanza..!?
Yee ataendelea kukutana na M7 na PK mpaka afe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…