Thank you, next - Ariana Grande

Mtu mmoja mwenye upendo hebu na akuje anitafsirie hiki kikristo nami nipate kuielewa hii ngonjera inasema nini
 
Yaah ndo yeye...Mwaka huu huyu dada kapitia maswahibu sio mchezo...X wake alifariki pia amevunja uchumba na jamaa yake
Hata huu wimbo ni kwa sababu ya x wake aliefariki na huyu mchumba waliechana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…