- Hahahaa mimi ni Celebrity tena big sasa labda nikupe namba ya msaidizi wangu umuulize au? hahahahahahah U know
Le Mutuz
- Sawa sawa U got it
Le Mutuz
- hahahaha next online
Le Mutuz
Unawezaje kujipromo ww mwenyewe kuwa unainfluence kwa jamiii. Hivi unajua hata maana ya neno jamiii
Acha mbwembwe kwa watu famous ndo wanajibu hivyo wanapoulizwa……? :thumbdown: kwa jibu lako
Watishie mburula wenzako ndo wanatiwa hofu na huu upu.uzi wako coz unadhidi kuwathibitishia hata wale waliokuwa wanatilia shaka kama wewe ni kasorobo kuwa u kasorobo halisi.
Ua useless kwakweli
I don't cover in a magazine, I use to cover people's hearts
Plus wenzio tunadil na western medias and not east africans media
Ua so useless.
- Well, unasema niache kutembea bila kuvaa mashati au what sijakuelewa vizuri, halafu ungeweka nyumba ya mama yako kwanza ndio ungekuwa na nguvu ya kuongelea nyumba za mama wa wengine, Super Star Lulu Michael is my super friend hivi hapa tumeanza kuchaguliana marafiki siku hizi? Infact natayarisha another party yaani "The All White Party Phase Two" at Escape One mwisho wa mwezi ujao, sijawahi kuwa Mpambe nina marafiki tunaofanana, Jumuiya ya Wazazi kumbe ni yako wewe una cheo gani huko? hahahahahaha
- I hope nimekusaidia mkuu hahahaha
Le Mutuz
- Kumbe wewe ni kasorobo duh hahahahahahaha
Le Mutuz