- Well, unasema niache kutembea bila kuvaa mashati au what sijakuelewa vizuri, halafu ungeweka nyumba ya mama yako kwanza ndio ungekuwa na nguvu ya kuongelea nyumba za mama wa wengine, Super Star Lulu Michael is my super friend hivi hapa tumeanza kuchaguliana marafiki siku hizi? Infact natayarisha another party yaani "The All White Party Phase Two" at Escape One mwisho wa mwezi ujao, sijawahi kuwa Mpambe nina marafiki tunaofanana, Jumuiya ya Wazazi kumbe ni yako wewe una cheo gani huko? hahahahahaha
- I hope nimekusaidia mkuu hahahaha
Le Mutuz