William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
-
- #81
Nachokupendeaga haswa ni jins unavyojiamin, na uthubutu ulokua nao wa kujib hoja. Jmn mwachen aishi atakavyo si nyie mtakavyo, kwn mnamlipia bill zake???
Le mutuz una matatizo ya akili, wahi mirembe haraka kabla hujaanza kuokota makopo
Tunacho komplein ni uongo wake na sio maisha anayoishi
Haaaaaa! Iyo ndo unayoiita ofisi. Real! U call it office! I think even my toilet is looking good than it.
Kachumba ka mita ngapi sijui ndo unakaita ofisi!
Hiyo ya Vibe magazine iko vyema nakupongeza, sio kila mtu anakuwa front pg. Ila ya Coca Cola hata kina Asha wapo.
We don't complaining about ua appearance its about ua influence
Aaaaaaaaa