Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

Status
Not open for further replies.
Le mutuz una matatizo ya akili, wahi mirembe haraka kabla hujaanza kuokota makopo
 
Nachokupendeaga haswa ni jins unavyojiamin, na uthubutu ulokua nao wa kujib hoja. Jmn mwachen aishi atakavyo si nyie mtakavyo, kwn mnamlipia bill zake???

- Huwezi kujiamini hivi unless una elimu kubwa sana which I have hahahahahahaa U know

Le Mutuz
 
Haaaaaa! Iyo ndo unayoiita ofisi. Real! U call it office! I think even my toilet is looking good than it.
 
Haaaaaa! Iyo ndo unayoiita ofisi. Real! U call it office! I think even my toilet is looking good than it.

- Hapana unless toilet labda ni wewe mwenyewe maana hii ofisi zamani ilikuwa ya Air Tanzania alikua akiitumia Manager wake then Mwapachu, pole sana ipo Tancot House 2nd fl downtown umeona kuwa wanakuja si nilikuambia chezeiya!!

Le Mutuz
 
Hiyo ya Vibe magazine iko vyema nakupongeza, sio kila mtu anakuwa front pg. Ila ya Coca Cola hata kina Asha wapo.
 
Pole mzee
 

Attachments

  • 1424787829098.jpg
    1424787829098.jpg
    21.4 KB · Views: 242
We don't complaining about ua appearance its about ua influence
 
Hiyo ya Vibe magazine iko vyema nakupongeza, sio kila mtu anakuwa front pg. Ila ya Coca Cola hata kina Asha wapo.

- Thanks ila la Cocacola ni kwamba langu sikuomba nilipewa wa kwanza 20 na Cocacola wenyewe, haya ya sasa unaomba au unalipia kwanza kwenye foleni na kesho Cocacola wanaanza ishu mpya at Hilton Hotel wamenialika hao unaowasema hawajalikwa maana sio Celebrities kama mimi, ni kuweka sawa tu habari nzima

Le Mutuz
 
Haaaaaa iyo ndo life sasa
 

Attachments

  • 1424788688644.jpg
    1424788688644.jpg
    32 KB · Views: 210
Jf bhana ina wengi na ina mengi yaani mtu anajifagilia kama karanga
na isitoshe mzee mzima kujiproud mitandaoni anaona sifa je siye
itakuwaje

makubwa haya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom