ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
Japo sikuwa na keki ila nimejisikia Faraja tu kwa kuni wish heri kwenye siku yangu ya kuzaliwa ila nimefunga tu Sunna kwa mujibu wa Dini yangu asanteni Wapendwa, ila Jf waweke hata huduma ya kutumiana soda humu siku nyingine mnitumie soda na Tende za futari.