Thanks God for Giving us Kikwete


Mkuu, kama wewe ndo slaa sawa. unastahili kulalamika kutokana na kuukosa urais ulioahidiwa. ila kama wewe unategemea posho ya Kinondoni, nakusikitikia sana maana huna hoja ya maana. huwezi kuanzisha utumbo kama huu halafu ukategemea watu wapoteze muda wao kujibu hoja isiyo na kichwa wala miguu. Majibu umepewa na sasa sijui unahitaji nini tena
 


Bravo, haya ndio masuala tunayo tarajia kuyasikia kutoka kwa watu walio na hekima na busara, safi sana. Ni matumaini yangu kuwa tutaendelea kwa style hii. Uliyo ya sema ni kweli tupu. Vilevile ikitokea tunayangalia mapungufu yake naomba tuwe wakweli kuyatazama ili tuepuke huko mbeleni kurudia makosa yake.
 

nime like na kukupa big up zote
 


sio wote humu ni wanachama au wapenzi wa vyama ni watz tuuuuuwanapenda nchi yao kwa hio lazima yale mabaya wayaseme......haiwezekani mwandishi wa habari auwawe hana silaha mkononi alafu tuseme ni jambo turi
 
The problem continue...ungejua nafanya kazi gani usinge sema hayo mambo ya kinondoni...badiliken mnaabisha chama cha CCM
 
Acha uzushi. Siasa ndivyo zilivyo. We cheki USA, pamoja na ukomavu wao wa kisiasa lakini kushinda uchaguzi kuna fitina kibao. Kikubwa wananchi wanatakiwa wazidi kuelimishwa juu ya haki zao ili waweze kuwapima wagombea na kufanya tathmini ya maendeleo yaliyoletwa na rais ktk mihula/muhula husika.

Kwa ujumla JK kajitahidi sana ktk uongozi wake, si kichama pekee bali hata kwa vyama vya upinzani. Pia hata uhusiano wa kimataifa.

Najua kuna kasoro za hapa na pale mfano kuuawa kwa watu wasiokuwa na hatia kwenye mambo ya kisiasa, ila hilo linakwenda moja kwa moja kwa wana CCM wanaotaka kuwathibiti wapinzani 2015, na hao ndiyo wa kuwalaumu na tuchukue majina yao na kauli zao tuje tuzipime 2015.

Ila JK ni jembe!
 
Ukihitaji kujua matusi ya Ccm huhitaji kwenda kwa Lusinde siku hizi, pitia Jf tu utakuna nayo!
 
Mimi nilikua sijui nini maana ya TINDI KALI nimekuja kuijua utawala wa JK!
 
Ni mpango wa shetani huu.

mungu hawezi fadhili ukoo wa wanyanganyi!!
 
mambo ya BAVICHA kazi kweli inakuwaje maswala ya mungu utuulize sisi kwani Mungu tunakaa naye wapi sisi.

sumu sumuniii lol! inaonekana una damu ya kijani kbs ww! sina tatizo na ww..... maisha ni kuchagua bana.
 

chezea JK wewe vijana mnalipwa kumsafisha mitandaoni enh..... na watz ni hasara yaan full kuyumbishwa kisa vijisent wakat ukweli mnao. hahaha heri yetu sie waangaliaji wa huu mchezo mchafu ngoja nasi tufanye yetu kwenye vitengo vyetu. nyie mnaotokwa mapovu umu for nothing hata posho hupatiii ur a total looser lkn kama bahasha ya kaki imepita kila la kheri zenuu.
 
Mkuu, yaani umeonesha udhaifu mkubwa saba katika kufikiri. Kwani JK alishindwa kwenye kura za maoni mwaka 2005? kama ndo hivyo, je alishindaje nafasi hiyo ndani ya chama?
Kukosea mwaka haimaanishi mtu ni mdhaifu wa kufikiri ;typing error zipo kila mahali
 
Ni kweli Mungu alikuwa na Makusudi sana kutuletea Rais anayeweza kuchora dunia nzima kama Setelaiti maana hakuna nchi wala kichochoro hajafika kisa eti anasaka misaada. Huku nyuma akiwaacha wataalamu wanagundua hazina ya utitiri wa Utajiri hadi watu wanakuja kujichukulia ambao Juzi aliwaita Wahamiaji Haramu sasa anaanza kuwaondoa nao wanakasirika na kumkosoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…