The unfortunate of your accusation s that you were not even here when I wrote this, so you would not have understand anything or even my reference of Kitab!
For your information and those who may be curios to know about Kitab Alf, when I wrote this, it was my 1000 post and hence reference of Kitab Alf! now since you are angling into Udini, your focus has been simply relating the stories of the Kitab Alf and you do not see any relationship. Everyone has a style and unique way even perspective to write, so until when you can learn to understand the writer and his or her styling, then you can be in a position to admire the literature work of a writer.
As far as the Lord goes, again artistic reference and it has been used (charge me with plagarizing I will accept lifting someone else work)!
Ulikuwepo lakini ukitumia jina jengine,account hiyo uliyonayo,lakini jina umebadili.Ulikuwa kimya,nadhani ni wakati mafisadi hamjatambuwa kwamba udini na ukabila ndo the way to go.Where was I ? re-check your calendar.
What kitab? Alf lela U lela? trying to be smart again?
Na ameanza kutayarisha dynasty kwa kumweka mkewe na mwanaye kwenye NEC ya chama chake. Asante Mungu!
Alf? is not Alf Lela U lela. And what has it got to do na shukrani zako kwa kupewa Kikwete?
Tremendously stupidity to keep on trying to defend your mockery.
Haven't seen you using the real artistic values of our beloved son of man, or is it god? depicted as gay. Have you? In a true "Holy"wood trumpeted art.
Kwa nini tusiendelee kushukuru? Maana hata katika udhaifu wake kama mtendaji na kiongozi, mengi yanafunuka hata kuhusu sisi kama Taifa na wananchi! Tujiulize kwa nini tulimpa dhamana tena 2010? Je tulikuwa tumelewa au ni upofu uliokomaa?
Yote haya yanayotokea, ni lazima yatokee na ni kutokana na namna ya uongozi wake, tunaweza kujipima kama Taifa na jamii kuona kama tuko kwenye mstari sahihi au tuanze upya.
Ni Fasihi dada yangu na ukweli ni kuwa jamii ni lazima ijitazame hata kutumia fasihi na kujitambua ala, kumbe nasi twachangia na si Kikwete pekee.
Nilipoandika Screw Muungwana, ilikuwa miezi michache baada ya yeye kuchaguliwa, na hata kabla hajaapishwa niliandika mada nyingine "Hercules..." nayo ikionyesha wazi maoni yangu kuhusu uwezo wake wa kufanya kazi na kuwa kiongozi.
Sasa ukirudi kuvisoma, utafikiri ulikuwa ni unajimu!
So bado namshukuru, maana si Kikwete pekee, bali hata wengine twaanza kuwatambua na tunaanza kujitambua kama jamii!
Zomba,
Again you are proving to the kadamnasi of your ignorance, zeal and stupidity. I am glad you took time to read this again and you are full of ghadhab.....one said before ficha upumbavu...so you can accuse me and curse me all you want, but keep your ignorance a private matter!
Reminding me of Mark Twain "When I was a boy of 14, my father was so ignorant I could hardly stand to have the old man around. But when I got to be 21, I was astonished at how much the old man had learned in seven years."
When your mind reaches the maturity of 21, doesn't matter how old you are right now, your mind simply has a growth impairment, you will surely understand who is the stupidest, you are not even in the league of honor to be called arrogant, it will be too high a credit for someone who relates "Alf" with Alf Lela u Lela!
"You can fool some people sometimes but you cant fool all the peoples all the time" that was a message to preachers, wasn't it Reverend?
Kuwaletea MAENDELEO watanzania
Mwenyezi Mungu huwa ana makusudi kwa kila jambo linalokuja kwa wanadamu, zuri au baya! Imani yangu inanituma kuwa alimleta Kikwete ili Tanzania ipate ukombozi kamili toka kwa CCM (wakoloni weusi). Hizi ndo sababu zangu: -
1. Baadaya Kikwete kushindwa kura za maoni 2005 alianzisha mtandao wa kusaka urais tangia hapo. Mtandao ambao ndio chanzo cha makundi ya Ccm na ambayo hayawezi kuisha ndani ya chama hicho. (Kikwete muasisi wa makundi)
2. Kikwete na mtandao wake walinunua wahariri wa vyombo vya habari ili kumpamba Kikwete na kuwachafua washindani wake. (Rejea kauli za Sumaye) Walipoingia madarakani na seriksli yao ikawa regerege wakawageuka waandishi wanaowakosoa na kufungia vyombo vyao. (Mwanahalisi, Kulikoni, Mwananchi, Mtanzania nk) Ccm ikatengeneza uadui na waandishi.
3. Kikwete katika uchaguzi uliopita baada ya kukabwa vilivyo na Dr Slaa, washauri wake na chama chake wakamshauri kuelekeza siasa misikitini kujaribu kuokoa jahazi. Yanayotokea baada ya hapo kila mmoja anaona. (Kikwete muasisi wa udini) Wenye macho wanaweza kuona Ccm itakavyoangushwa na udini.
4. Kauli yake ya maisha bora iliwapa matumaini watanzania kuwa inawezekana wamepata mkombozi mpya. Matumaini yoa yanayeyuka kama barafu na sasa tafiti zinaonyesha watanzania hawana imani na serikali, Kikwete na Ccm.
Yote haya yakiweza kufanyiwa kazi na upinzani sioni Ccm ikiokoka. Ni mpango wa Mungu Kikwete kusababisha ukombozi?
Hakika kuna jambo, maana ni katika kipindi hiki tunashuhudia mmakubwa.
Hakika kuna jambo, maana ni katika kipindi hiki tunashuhudia mmakubwa.
Michezo yenu ya kununua vyombo vya habari unadhani kila watu hufanya na chama chenu cha ukoo lazima kitafia kwenye ukoo.Mwenyezi Mungu huwa ana makusudi kwa kila jambo linalokuja kwa wanadamu, zuri au baya! Imani yangu inanituma kuwa alimleta Kikwete ili Tanzania ipate ukombozi kamili toka kwa CCM (wakoloni weusi). Hizi ndo sababu zangu: -