Thanks GOD, thanks JamiiForums... I got it!

Thanks GOD, thanks JamiiForums... I got it!

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,374
Reaction score
6,857
I had 1 month (30 days) as Engineer in one of the biggest Road construction Project. After severe suffer on looking for a job, et list now naanza kuwa mtu kati ya watu.

Namshukuru Mungu wangu na nawashukuru JF founders and members coz tangazo la hiyo kazi nililipata hapa hapa JF till final interview nikawa success!!

PROMISE:
Mshahara wangu wa kwanza nitamtolea Mungu wangu fungu la 10, na pia nitaichangia JF izidi kudumu na hata status yangu itabadilika from Expert JF member to PREMIUM, Soon!! Once more, thanks GOD, JF and all.

MY REGARD....SIZINGA.
 
ok asante sana na kuzidi kuongeza idadi ya members ambao wamefaidika na hii forum.... JF is more than social network sosi JF chit chatter member..:violin:
 
Ahsanteni wote, kwa ufupi nina furahaia sana hii kazi yangu na within a month nishagain lots of things(expirience) na sad news ni kwamba niko maporini sana so mara nyingi network inasumbua for me to log in JF...bt ikikubali kama hivi leo,najimwayamwaya.

Thanks Preta, thanks Ndetichia, thanks Kaunga, thanks Mzee wa Ndimu...pamoja sana!! Huwaga nawamiss sana!!
 
Hngera sana. Ila nikucorrect hapo kwenye sadaka. Fungu la kumi ni wajibu kila mwezi kutoa. Kutotoa ni kumuibia Mungu. So toa sadaka ya shukran apart from fungu la kumi.
Blessings,

I had 1 month (30 days) as Engineer in one of the biggest Road construction Project. After severe suffer on looking for a job, et list now naanza kuwa mtu kati ya watu. Namshukuru Mungu wangu na nawashukuru JF founders and members coz tangazo la hiyo kazi nililipata hapa hapa JF till final interview nikawa success!! PROMISE: Mshahara wangu wa kwanza nitamtolea Mungu wangu fungu la 10, na pia nitaichangia JF izidi kudumu na hata status yangu itabadilika from Expert JF member to PREMIUM, Soon!! Once more, thanks GOD, JF and all. MY REGARD....SIZINGA.
 
Sizinga am happy for you, kupitia JF nimefanikiwa makubwa sana ambayo sikuwahi kuyafikiria ktk maisha yangu. Long live JF
 
Hngera sana. Ila nikucorrect hapo kwenye sadaka. Fungu la kumi ni wajibu kila mwezi kutoa. Kutotoa ni kumuibia Mungu. So toa sadaka ya shukran apart from fungu la kumi.
Blessings,

Same way ma dad told....kwamba sadaka iwe ni habit yangu for every time...nashukuru kwa kukazia...that is it...ni sadaka na sio fungu la kumi
 
Sizinga am happy for you, kupitia JF nimefanikiwa makubwa sana ambayo sikuwahi kuyafikiria ktk maisha yangu. Long live JF

Narubongo...I know you very much via JF.....this JF is so big than people and other leaders think!! Ni mkombozi sana kwa wenye akili.
 
Mhandisi Sizinga Hongera sana kupata kazi via JF. Ni wachache huwa wanarudi hapa na kutoa Shukrani.
Sasa chapa kazi watoto waende msalani kuchimba dawa.
 
Hongera sana, Unajua kila kitu cha kwanza ni cha Bwana, Kama kweli unataka kumtolea bwana Mshahara wa Kwanza ni wake, ukianza na bwana unamaliza na Bwana. Hongera sana, JF ni ya pekee sana.
 
Hongera bro! am happy to so! u know y? am on the way t get job though cjui lini na ni wapi bt one day gonna be yes.actually am a graduate (Regional Dvt Planning) cha msingi ni kumuomba Mungu bila kuchoka Much cogrt..
 
Hongera sana
Nina amini huyo dudu ataacha kupiga mihayo sasa
OTIS
 
Mungu akulinde na akupe mwanga tuwe pamoja katika kujenga Tanzania yetu.
 
Hongera sana, maana nastrugle to achieve someday like you. God bless you.
 
Back
Top Bottom