Thanks God..Thanks to all JF friends !!


heheheh ngoja shemeji yangu PJ aje hapa sijui una la kumjibu...
 
Hongera sana FL,umeyaweza yote ktk yeye aliyekutia nguvu.........na aendelee kuwa nanyi siku zote.Stay strong

Thanks Wiselady namuomba mungu aendelee kutupigania ....
I see kuna wakati ... haya mama ..nisalimie hapo ulipo..
 
Hongereni sana dada FL1.....Mungu awajalie maisha marefu and more anniversaries to come!!!!

JS unapotea sana mpenzi kulikoni ndo majukumu yanakufanya hata salam kwa wapendwa wako ipotee ??
 
Ndugu yangu kabuche1977, hebu jitokeze basi uongee kidogo
Huwa simuamini Babu kabisaaaaa . . . . .

hahahahaha jamani nyie mie nacheka tu heheheheheh ....
 
Thanks Wiselady namuomba mungu aendelee kutupigania ....I see kuna wakati ... haya mama ..nisalimie hapo ulipo..
lol! Ndo nini unapata kigugumizi lkn?nway vile leo tutaparty bdae wacha nisikusonge lkn najua utaninong'oneza,nimewasalimia wanakutakia gudcheer:hug:
 
Hahahaha...babu amevaa mawani yake leo...na umri huu anajua sana kunusa...
Angalia MISENKSI anayomwaga kabuche hapo afu connect them dots...LOL
Jose Mario O'campo ameniahidi ajira.....

Lovely babu Asprin ile vocha uliyonambia unanitumia mpaka sasa haijaingia ??ama unatania ...
 
Ubarikiwe katika yote na uwe na ndoa ya amani!
 
Kimey leo umetoka mapangoni na kuongea asante sana tukumbukane kupitia njia ya barua
Asante
Mama wa kwanza mbona nipo sana! wewe tu sijui unpitia mtaa gani, hehehehe nimeshamtuma njiwa akuletee barua ya pongezi kwa kufikia 4th anniversary ya ndoa yako! Isubiria hapo Nyamanoro, Baadae pale malaika usisahau kuniwekea "Voice of No Reason" zangu bana!
 




hongera sana bibie,
mungu azidi kuibariki familia yako......................
 
Hongera sana Fl1,uendelee kubarikiwa mpaka ushangae
 
Hongera sana my dear FL1

Kumbe bado mchanga sana kwen ndoa eeh.....LOL

Keep on walking the good, blessed life....

Baadaye basi tutete kidogo....
 

Hongera sana dada yangu ingawa siku hizi umeadimika.....Wakati baby atakuwa anasubiri mdogo wake, mimi nilidhani ndo unakuwa huru kidogo...Hata hivyo tunatambua uzito wa kuwa na multiple and competing demands...baba, mtoto, kazi, ndugu, marafiki ..+ JF!!!

Ila hapo chini umeniacha hoi...Siku ikamua kubadili jina usihangaike...wewe ni MAMA MCHUNGAJI...Hapo hakuna ubishi kabisa!!
 

Hongera na tunaomba baraka tele kwako na familia yako..kumbuka.. Familia yako na upendo wako ni kama bustani ya maua yachanuayo na kupendezesha macho..nyuma yake ni kazi nzito ya kufanya bustani iendelee kuchanua maua.. Basi ongeza Muda, Juhudi, Busara na Mauhusiano bora ili Maua yaeendee kuchanua daima!

Happy 4[SUP]th[/SUP] year anniversary!
 

Safi Sana fl1 na endelea kuwa na moyo huo na Mungu akujalie kwenye ndoa yako idumu zaidi.
 
hongera sana bibie,
mungu azidi kuibariki familia yako......................

asante sana Bacha
Na iwe kama baraka zako uniombeazo kwenye mwenyezi mungu
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…