Thanks Mwamposa for bridging this catholic monopolism

Well said, but the catholic church is not here to make people happy with the service it provides
 
Are you serious? 😂 Mwamposa ni kanisa? Linapatikana hata hapo Botswana? Unalinganisha huduma ya mtu mmoja ambaye siku akifa huduma imekwisha na Kanisa lenye waumini zaidi ya Bilioni 2.5 worldwide! Hii ni comedy 😀 Catholic ni mfumo wa maisha na mwenendo mzima wa Christianity, sio huduma za miujiza!
 
Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
karibia nusu ya wale watu kwa mwaposa ni wakatoliki, soon they are coming to understand kwamba catholism is nothing but satanism. pamoja na kwamba kwa mwaposa kwenyewe wameenda ni kule kule baba yao mmoja, ila walau, wakitoka huko kwa roma wataenda kanisa sahihi muda utakavyoendelea.
 
Huwezi kukuta mwanaume au mwanamke mwenye akili timamu kaenda kule wale waliopo kule wapime akili zao utagundua jambo mazombi
 
Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
Tukio la siku moja ndio mnataka kuvimba kichwa hivyo tena la mahali pamoja🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa Mwamposya kuna
1) Nyimbo
2) shuhuda.
3) maombezi ya miujiza na wanawake kuanguka hovyo.
4) mauzo ya mafuta ya "upako"
5) makusanyo ya sadaka za cash
6) Matangazo ya namba mbali mbali za "sadaka"
7) Humor katikati anachomeka mistari miwili ya kuogofya toka Agano la kale na miwili ya Agano Jipya ikiwa na 75% matamshi mawil "hallelujah na kwa jina la Yesu Kristo" kwa wingi.
8) Matangazo ya Operation komboa familia
9) Kuondoka na masurufu.
Sidhani kapitia hata Sunday School.
 
Mkuu kwani kuna formula au kanuni ya kuabudu iliyowekwa na Mungu? Zote si ni utaratibu wa wishes za watu tu
 
For us catholics we worship idols, that's the reason why logical reasoning pple abandone catholics to pentecostal churches or Islam.
After visiting some of the churches and attending their services, I saw how they are disorganised in terms of arranging the whole mass service. The only part which they are at least capable of is the sermons. After that every thing turns into shambles
 
Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
Mtu aliyekodishwa kwa muda kiwanja cha kuswaga ng'ombe hapo Kawe ndio umlinganishe na Kanisa Katoliki Tanzania?

Mwamposa hafikii hata jimbo moja Katoliki. Na akifa wanaobaki watagombea mali biashara inaishia hapo. Sasa individual anapambanaje na taasisi ambayo hadi serikali ilibidi itaifishe assets zake kuipunguzia nguvu kitaifa.

Mwamposa hawezi anzisha na kuendesha benki, chuo kikuu, orphanage kubwa kama Msimbazi, hospitali ya rufaa kama Bugando au hata ya wilaya. Kanisa lenyewe moja waumini wanakaa kwenye viti vya plastiki kambi popote.

Jiheshimu
 
Na ndio chanzo Cha makanisa yote ya protestants..... Hao akina mwamposa hawana waumini wa kudumu na mwamposa akifa na kanisa linakufa. Ni ujinga anafanya hapo kwa kutumia biblia.....
Kweli kabisa. Kanisa Katoliki limejengwa kwenye Mwamba unaitwa Petro sio rahisi kuteteleka kama makanisa ya akina Kakobe, Mwingira, Kikombe Cha Babu na huyo Mwamposa!
 
For us catholics we worship idols, that's the reason why logical reasoning pple abandone catholics to pentecostal churches or Islam.
It’s disappointing to see such a shallow and uninformed perspective. Catholic worship isn’t about idolizing objects, but honoring the deeper meanings they represent in faith. Dismissing an entire tradition based on misconceptions only reveals a lack of understanding. Logical reasoning calls for open-mindedness, not blanket judgments
 
"Catholic worship isn’t about idolizing objects, but honoring the deeper meanings they represent in faith"
Saying this is the stupidity of the highest order, so what is the essence of worshiping almighty God through an Idol, Catholics take their followers as fools confusing them with fake explanations, the fact remains that catholics are idol worshippers.
 
It's clear you're not grasping the distinction between veneration and idol worship. Catholics don't worship statues, they honor saints as models of faith. But then again, it's easier to parrot misconceptions than to engage with actual theology. Perhaps try learning before calling others fools
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…