Thanks Mwamposa for bridging this catholic monopolism

Thanks Mwamposa for bridging this catholic monopolism

Neighbours have special place in Islam, treat them with respect dont cheat them, but don't follow their evil religion, there is abig difference between a friend en a neighbour so avoid to mix the two.
do you know that you might have a neigbour who is not your friend?,islam does not teach not to be a friend who is an idol worshipper!
 
do you know that you might have a neigbour who is not your friend?,islam does not teach not to be a friend who is an idol worshipper!
Even if the neighbour may not be your friend, but in Islam you must treat him with respect en diginity don't mistreat him or her, but never follow his religion or faith.
 
Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
Ukweli ni kwamba dominance ya RC inapungua kutokana na RC kuwa conservative kwenye baadhi ya mambo hasa ya Kiliturujia. Pia kwa miaka ya hivi karibuni RC limekuwa na michango mingi, ubaguzi na changamoto ya maadili na msimamo wa baadhi ya viongozi wake, hivyo kuendelea kuwa unpopular.
 
Akili zako zipange kufikiri zaidi na zaidi........ huyu tapeli Mwamposa atapotea kama alivyopotea so called self proclimed Bishop Kakobe Zacharia, Mzee wa Upako and many many others you can mention. It is a matter of time after the "believers" will discover that they are being "tapelled" (kiingereza changu)/coned /deceived
Umeeleweka mkuu
 
Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
CORRECTIONS: Back in the days, the Catholic Church dominated over all aspects relating to divine issues, but as of now, believers have much more choices simply because there is more supply of spiritual services.

MAONI YANGU: Dini ni utapeli mkubwa sana ambao mwanadamu amewahi kubuni. The biggest scam ever..
 
Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
You know catholic at your level of thinking.
 
Ukweli ni kwamba dominance ya RC inapungua kutokana na RC kuwa conservative kwenye baadhi ya mambo hasa ya Kiliturujia. Pia kwa miaka ya hivi karibuni RC limekuwa na michango mingi, ubaguzi na changamoto ya maadili na msimamo wa baadhi ya viongozi wake, hivyo kuendelea kuwa unpopular.
Hii ni kweli kabisa,nami naishi na wakatoliki wengi na hayo ndio malalamiko yao makuu
 
Catholic Church uses sophisticated way of begging, smooth exploitation, look at small Christian communities, they contribute a lot to the church. Mwamposa is open, when you pray deeply you see the result.
The concept of "Catholic communities " has lost its touch. At first they were meant for prayers and helping each other, but recently, they have been transformed into fund raising programmes.
 
Hili ni jukumu la serikali. Kanisa jukumu lake ni kusali tu
Tatizo tuasoma historia ya Tanzania ukisoma historia ya ulaya utajua nguvu ya kanisa katika kukuza uchumi na kuleta mapinduzi makubwa. Watu wamepunguzakusalisiku hizi masisiata na mapadri wamepungua. Hii inapelekea mashirika makubwa ya afya, elimu na tafiti kufa au kupungua. Kuna mahospitaali makubwa yalikuwa yanaendeshwa na volunteers.
 
It is high time sasa waichie serikali ifanye kazi yake. Walikuwa wamejitwika majukumu yasiyo yao. Yesu hajaswma tujenge hivyo vitu
 
Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
Una ndoto na imani za kushindana badala ya kukazania umjue Mungu.Umeshampata mshindi wa kwanza?
 
It is high time sasa waichie serikali ifanye kazi yake. Walikuwa wamejitwika majukumu yasiyo yao. Yesu hajaswma tujenge hivyo vitu
Serikali haiwezi kufanyahivyo ndugu yangu mashirika yanayosaidia hii dunia mengi ni ya kidini ndugu yangu. Serikali haiwezi kufanya hilo kila mtu anapambana na hali yake mashirika ya kidini ndiyo yanayoleta maendeleo katika jamii. Huku ujerumani apartment za bei rahisi kwa ajili ya wanafunzi katika miiji mikubwa zinamilikiwa na kanisa katoliki. Wakimbizi ambao hawajiwezi wanapewa makazi katika apartment za wakatoliki. Kanisa linatakiwa liwe kipaumbele kuwakomboa wananchi pasi dini wala kabila. Mwamposa naona kajenga hoteli mbeya watu wakambatone.
 
Back
Top Bottom