fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
sio kweli huwezi kuwasalisha wagonjwa,wajinga wasio na elimu au walionmaskini kabisa,ni jukumu la dini kufanya injikinya afya,uchumi na elimuHili ni jukumu la serikali. Kanisa jukumu lake ni kusali tu
Sio waislamu tu hadi wale wa swala tano. Nimesoma nao na kila siku ya jumuiya wao walikuwa wanakutana na kujadili maswala za imani yao.Na hizo shule tumesoma hata sisi waislamu bila ubaguzi wowote
do you know that you might have a neigbour who is not your friend?,islam does not teach not to be a friend who is an idol worshipper!Neighbours have special place in Islam, treat them with respect dont cheat them, but don't follow their evil religion, there is abig difference between a friend en a neighbour so avoid to mix the two.
Even if the neighbour may not be your friend, but in Islam you must treat him with respect en diginity don't mistreat him or her, but never follow his religion or faith.do you know that you might have a neigbour who is not your friend?,islam does not teach not to be a friend who is an idol worshipper!
yes that is my pointEven if the neighbour may not be your friend, but in Islam you must treat him with respect en diginity don't mistreat him or her, but never follow his religion or faith.
Ukweli ni kwamba dominance ya RC inapungua kutokana na RC kuwa conservative kwenye baadhi ya mambo hasa ya Kiliturujia. Pia kwa miaka ya hivi karibuni RC limekuwa na michango mingi, ubaguzi na changamoto ya maadili na msimamo wa baadhi ya viongozi wake, hivyo kuendelea kuwa unpopular.Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
Umeeleweka mkuuAkili zako zipange kufikiri zaidi na zaidi........ huyu tapeli Mwamposa atapotea kama alivyopotea so called self proclimed Bishop Kakobe Zacharia, Mzee wa Upako and many many others you can mention. It is a matter of time after the "believers" will discover that they are being "tapelled" (kiingereza changu)/coned /deceived
CORRECTIONS: Back in the days, the Catholic Church dominated over all aspects relating to divine issues, but as of now, believers have much more choices simply because there is more supply of spiritual services.Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
You know catholic at your level of thinking.Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
Hii ni kweli kabisa,nami naishi na wakatoliki wengi na hayo ndio malalamiko yao makuuUkweli ni kwamba dominance ya RC inapungua kutokana na RC kuwa conservative kwenye baadhi ya mambo hasa ya Kiliturujia. Pia kwa miaka ya hivi karibuni RC limekuwa na michango mingi, ubaguzi na changamoto ya maadili na msimamo wa baadhi ya viongozi wake, hivyo kuendelea kuwa unpopular.
yes ni being tapeliedUmeeleweka mkuu
The concept of "Catholic communities " has lost its touch. At first they were meant for prayers and helping each other, but recently, they have been transformed into fund raising programmes.Catholic Church uses sophisticated way of begging, smooth exploitation, look at small Christian communities, they contribute a lot to the church. Mwamposa is open, when you pray deeply you see the result.
Tatizo tuasoma historia ya Tanzania ukisoma historia ya ulaya utajua nguvu ya kanisa katika kukuza uchumi na kuleta mapinduzi makubwa. Watu wamepunguzakusalisiku hizi masisiata na mapadri wamepungua. Hii inapelekea mashirika makubwa ya afya, elimu na tafiti kufa au kupungua. Kuna mahospitaali makubwa yalikuwa yanaendeshwa na volunteers.Hili ni jukumu la serikali. Kanisa jukumu lake ni kusali tu
It is high time sasa waichie serikali ifanye kazi yake. Walikuwa wamejitwika majukumu yasiyo yao. Yesu hajaswma tujenge hivyo vituTatizo tuasoma historia ya Tanzania ukisoma historia ya ulaya utajua nguvu ya kanisa katika kukuza uchumi na kuleta mapinduzi makubwa. Watu wamepunguzakusalisiku hizi masisiata na mapadri wamepungua. Hii inapelekea mashirika makubwa ya afya, elimu na tafiti kufa au kupungua. Kuna mahospitaali makubwa yalikuwa yanaendeshwa na volunteers.
Una ndoto na imani za kushindana badala ya kukazania umjue Mungu.Umeshampata mshindi wa kwanza?Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
Serikali haiwezi kufanyahivyo ndugu yangu mashirika yanayosaidia hii dunia mengi ni ya kidini ndugu yangu. Serikali haiwezi kufanya hilo kila mtu anapambana na hali yake mashirika ya kidini ndiyo yanayoleta maendeleo katika jamii. Huku ujerumani apartment za bei rahisi kwa ajili ya wanafunzi katika miiji mikubwa zinamilikiwa na kanisa katoliki. Wakimbizi ambao hawajiwezi wanapewa makazi katika apartment za wakatoliki. Kanisa linatakiwa liwe kipaumbele kuwakomboa wananchi pasi dini wala kabila. Mwamposa naona kajenga hoteli mbeya watu wakambatone.It is high time sasa waichie serikali ifanye kazi yake. Walikuwa wamejitwika majukumu yasiyo yao. Yesu hajaswma tujenge hivyo vitu
Ati kwa nini hajengi hospitali kutibu wagonjwa kwa mpigo?Ila Mwamposa apunguze utapeli
Ndio ajenge hospital ya kutibu wa wagonjwa bila malipoAti kwa nini hajengi hospitali kutibu wagonjwa kwa mpigo?