Nimewasikia Mkuu.Mkuu, baada ya zile mechI mbili za mwisho ulienda sehemu isiyo na network. Nashukuru upo Sasa umerudi kwenye mtandao.
Umewasikia wazee wa baraza la wadhamini?
Mtapigwa tena mechI mbili za mwanzo mzunguko wa pili! Stay tuned
Bundi huyo hataki kutokaNimewasikia Mkuu.
Hachelewi kurudi eneo korofi huyo huwa anaanza hivi hivi wakianza kupewa anajichimbia huko!Mkuu, baada ya zile mechI mbili za mwisho ulienda sehemu isiyo na network. Nashukuru upo Sasa umerudi kwenye mtandao.
Umewasikia wazee wa baraza la wadhamini?
Mtapigwa tena mechI mbili za mwanzo mzunguko wa pili! Stay tuned
Mtani kwema? naona unajifariji lakini kumbuka mkosi huwa hauji mmoja jiandae kisaikolojia huu ndio ushauri wangu kwa sasa.Nimewasikia Mkuu.
Sawa penye ushauri kuna kukubaliwa ama kukataliwa midhali umekataa ila wino huu haufutiki kirahisi maneno yangu yatakuja kukufaa siku si nyingi.Haha.. Huku kwema Mkuu., ila ushauri wako nimegoma kuupokea.
Mkuu.. Usiamini kila kinachoandikwa katika magazeti au story za mitaani, kwani asilimia kubwa hua ni za uzushi tu. Subiri dirisha la usajili lifungwe ndo uje na tathimini yako.Simba hakuna mshambuliaji mzuri na nashangaa wanatafuta mshambuliaji wa Kitanzania. Hivi Tanzania yetu hii kuna mshambuliaji mzawa kweli? Ni bora Kiiza angerudishwa nina uhakika kungekuwa na combination nzuri.
Mnataka kumuacha Murshid, hivi hapo Simba kuna watu wanafikiria vizuri au inakuwaje, hamuwaoni wa kuwaacha?
Yanga wanajua kusajili sana kwasasa,sijajua tatizo la Simba ni fedha au ni nini. Waende nje wakalete mshambuliaji wa uhakika na wajiridhishe kwa kuangalia mechi alizicheza sio kutuletea reject za Azam kama walivyofanya kwa Angban n.k
Ngoja nisubirie nione.Kama goalkeeper huyo Mghana atasainishwa kilio changu kikuu hapo nyuma kitakuwa kimeisha, itabaki foward tu ila si kwa mzawa.Mkuu.. Usiamini kila kinachoandikwa katika magazeti au story za mitaani, kwani asilimia kubwa hua ni za uzushi tu. Subiri dirisha la usajili lifungwe ndo uje na tathimini yako.
Simba record yanga mbeleko unabisha ? 5-0 mmesharudisha ?Yanga ndiyo kila kitu. Mnabisha?
Hivi mala yamwisho Simba kuchukua ligi ni lini kweli!!!!!
Unanifurahisha sana.Hi Lyn.